jay melody - unanimaliza كلمات الأغنية
[intro]
mm
mmm
wananiita, naam!
jay once again
[?]
[verse 1]
penzi lisilo kinai
kama wahindi, mumbai
nimezidiwa, wallahi
nalainishwa mkate kwa chai
naona raha tukifurahi
macho yako ndio, aih!
mitego yao sijali
nimeamua sa ndege sipai
[bridge]
you’re my lover
mwenzako napenda
when you kiss me, when you touch me
mwenzako napenda
i’m crazy for your love
(?) wewe
nishazama mapenzini, penzi lanimeza
[chorus]
baby, mwenzio
unanimaliza
mi mwenzio
unanimaliza
sweetie, mwenzio
unanimaliza
mi mwenzio
unanimaliza
[verse 2]
nilipo
napewa raha za pwani
sio siri, jamani
hakuna kulala
sa ndio nini hivyo
kunichanganya, honey
fasta ka cherehani
utanipa lawama
mpenzi, mi nguvu nakuwa sina
na mambo kwa ndani, ukifinya
ukifinya baby, ukifinya
ukifinya baby, ukifinya
kindoo nashindwa k_mimina
sababu mi nguvu nakuwa sina
ukifinya baby, ukifinya
ukifinya baby, ukifinya
[bridge]
you’re my lover
mwenzako napenda
when you kiss me, when you touch me
mwеnzako napenda
i’m crazy for your love
(?) wewе
nishazama mapenzini, penzi lanimeza
(oh, la)
[post_chorus]
baby, mwenzio (baby)
unanimaliza (ooh, c’mon, c’mon)
mi mwenzio (ah, ah)
unanimaliza (ah)
sweetie, mwenzio (baby)
unanimaliza (baby, c’mon, c’mon)
mi mwenzio
unanimaliza
ah
oh, mwenzio
unanimaliza
mi mwenzio
unanimaliza
ka mix lizer
كلمات أغنية عشوائية
- clare means - notions of love كلمات الأغنية
- notkea rotta - kenttäsika kehtaa كلمات الأغنية
- jagged - her şeyin bi' bedeli var كلمات الأغنية
- angela brown - holy war كلمات الأغنية
- rakede - sonne كلمات الأغنية
- james virgodo - aces no spades كلمات الأغنية
- babbu maan - itihaas كلمات الأغنية
- dick annegarn - prune كلمات الأغنية
- tion wayne - still me كلمات الأغنية
- vidi aldiano - nuansa bening كلمات الأغنية