kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jay melody - sio sawa كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
jini x66

[verse 1]
mpaka sasa, moto ushawaka
mambo nnayofanya sa navuka mipaka
vitu nnavyo taka, mwenzenu nadata
tena anasema dear hawezi kuniacha
mashaka, usaliti, sasa
mimi na mwanangu yaani ni kama mapacha
shem lake sasa, kitu wali papa
an_z_ma taa ili niweze kuuchapa

[pre_chorus]
ndio hivyo yaani ndio hivyo
shem lake anataka tu shoo
ndio hivyo jama ndio hivyo
ndio hivyo
yeah

[chorus]
ila kibaya zaidi ye anavutia
nashindwa kuzikataa raha za dunia
huku tunapo enda jamani sio sawa
sio sawa, yeah, yeah
tena akini_miss, ananipatia
msisimko wa mwili unaniingia
huku tunapo enda jamani sio sawa
sio sawa, yeah
yeah, yeah, yeah
(instrumentals)

[verse 2]
ah, shemeji eh! (shemeji, eh!)
ki ukweli ana mambo mengi
mwenzenu nita_dead, eh (nita_dead, eh!)
anavyo nipa vya bara na zenji
ah, muziki tot, na uwanja kochi
ana enjoy sana mpaka anapiga makofi
kama siogopi, huu ukorofi
kafunga milango kwa maana siondoki
ah, totti’ na uwanja ‘coach
ana enjoy sana mpaka anapiga makofi
kama siogopi, huu ukorofi
kafunga milango kwa maana siondoki

[pre_chorus]
ndio hivyo yaani ndio hivyo
shem lake anataka tu shoo
ndio hivyo jama ndio hivyo
ndio hivyo
yeah

[chorus]
ila kibaya zaidi ye anavutia
nashindwa kuzikataa raha za dunia
huku tunapo enda jamani sio sawa
sio sawa, yeah, yeah
tena akini_miss, ananipatia
msisimko wa mwili unaniingia
huku tunapo enda jamani sio sawa
sio sawa, yeah
yeah, yeah, yeah
[bridge]
ooh, lala, lulu
ooh, lala, lulu
ooh, lala, lulu, ah_ah

[outro]
tuendelee ama tusiendelee?
(tuendelee)
‘le ama tusiendelee?
(tuendelee)
tuendelee ama tusiendelee?
(tuendelee)
tuendelee, tuendelee
tuendelee ama tusiendelee?
(tuendelee)
‘le ama tusiendelee?
(tuendelee)
tuendelee ama tusiendelee?
(tuendelee)
tuendelee, tuendelee
amigo
ka mix lizer
music

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...