kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jay melody - na iwe kheri كلمات أغنية

Loading...

[verse]
unayefundisha mapenzi
k_mk_mbuka mwenyezi
ni mwezi adhimu
kwenye miezii
na pia tu huu mwezi
siwezi kuyahesabu kwenye dunia
yaarabi karima nipe afya uzima
nifunge mwezi mzima majaribu niyahepuke
nitaje lako jina nikisimama wima
niombe usiku mzima
mpaka asubuhi pakuche

[chorus]
na iwe heri (na iwe kheri)
ramadhan (ramadhan)
na iwe heri (na iwe kheri)
ramadhan kareem
na iwe heri (na iwe kheri)
ramadhan (ramadhan)
na iwe heri (na iwe kheri)
ramadhan kareem

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...