
jay melody - my dearest كلمات أغنية
[intro]
badman
szhee ooh
once again
[verse 1 : jay melody]
shake your bum bum
shake your bum bum, shake it
gimme some some
gimme some some, gimme
iyo tamu tamu
iyo tamu tamu, cake
kama stimu marijuana
[pre chorus : jay melody]
kwenye mamilioni ya watu your the one
pekee unaenimaliza
na ushajua bila wewe mimi siwezi
ukiniacha itaniumiza
unaniweza uwepo wako natambua
kiufupi umekamilika
mechi za nje si unajua hua si chezi
ononono
[chorus : jay melody]
my dearest
w_ngu wa moyo yoyoh
my dearest
si ndio oyo yoyoyooh
my dearest
w_ngu wa moyo yoyoh
my dearest
si ndio oyo yoyoyooh
my dearest
[verse 2 : jux]
hesabu jioni
kwani kulikoni
penzi linaf_ka moshi
zikichomwa kuni
hesabu jioni
faida sioni
pesa zote nitazopata
nitakuhonga honеy
nimenogewa kifupi nimekolеa
nikikutazama jua nataka kupewa
onyo kwa wote wanaonyemelea
penzi liko kasi wasije wakapotea
nonono
[pre chorus : jux]
kwenye mamilioni ya watu your the one
pekee unaenimaliza
na ushajua bila wewe mimi siwezi
ukiniacha itaniumiza
unaniweza uwepo wako natambua
kiufupi umekamilika
mechi za nje si unajua hua si chezi
ononono
[chorus : jay melody & jux]
my dearest
w_ngu wa moyo yoyoh
my dearest
si ndio oyo yoyoyooh
my dearest
w_ngu wa moyo yoyoh
my dearest
si ndio oyo yoyoyooh
my dearest
كلمات أغنية عشوائية
- sk8 - sober nights كلمات أغنية
- sudan archives - loyal (edd) كلمات أغنية
- pj harvey - cat on the wall (demo) كلمات أغنية
- zed - ansu fati كلمات أغنية
- mefe - zoológico كلمات أغنية
- 1979 broadway cast of oklahoma! - oh, what a beautiful mornin' كلمات أغنية
- bennetgriffin - aux كلمات أغنية
- the beach boys - soulful old man sunshine (2019 mix) كلمات أغنية
- thiago pantaleão - mais prazer كلمات أغنية
- daniel larson - acapella w/ sm0rez كلمات أغنية