![kalimah.top](https://kalimah.top/extra/logo.png)
jay melody - mbali nawe lyrics
once again
masikini mimi
mwenzako mimi naumia sana
j_po nishajua mimi kua sawa na wewe haitowezekana
hata nikishuka chini ndio unaniona ni mjinga sana
eti umepatwa nini mbona hapo mwanzo ulitulia
na wala sio mbali
sio mbali
tulikua karibu na malengo
na leo kiutani kama utani
umeshindwa kuumaliza mwendo
na tena hujali haujali
ukiondoka utaacha pengo
hakuna cha habari nikae mbali
huku kuachwa bila maelezo
mbali nawe, mbali nawe
mbali nawee
mbali nawe, mbali nawe
mbali nawe, mbali nawe
mbali nawee
au kua na mie hautamani
aah basi niambie kosa gani
basi niambie jinsi gani
utakua sawa baby mmmh
nikueleze jinsi gani
vile nimekuweka moyoni
hata mnipime kwa mizani
nitajaa kwako honey
mi naumwa
siko sawa
lako penzi ndio yangu dawa
ninaumwa aah
siko sawaaaa
lako penzi ahh ndio yangu dawa
na wala sio mbali sio mbali
tulikua karibu na malengo
na leo kiutani kama utani
umeshindwa kuumaliza mwendo
na tena haujali haujali
ukiondoka utaacha pengo
hakuna cha habari nikae mbali
huku kuachwa bila maelezo
mbali nawe, mbali nawe
mbali nawee, mbalii nawee
mbali nawe, mbali nawe
mbali nawe, mbali nawe
كلمات أغنية عشوائية
- scuare - for sure lyrics
- matt bennett - fake smile lyrics
- tshidamagg - ydkp lyrics
- haha charade - kill your idols lyrics
- sc - 21st floor lyrics
- j.s. ondara - mr. landlord lyrics
- chinesse - ojala que truena cafe lyrics
- karoshi - klonopin w/ moe lyrics
- barriera (italy) - la città mi fa terrore lyrics
- girl blue - fire under water (live solo) lyrics