kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jay melody - i don't know كلمات أغنية

Loading...

[intro]
oh oolalaa
oh oolalaa
jay once again

[verse 1]
mimi nataka kitu kidogo, nikwambie
nimekupa moyo basi nawe wako nigaiye
burudani nifuraha wewe kua na mie
ukitaka joto songa baby nikuk_mbatie

[chorus]
kama kukutenda sijui my love
baby i don’t know
kala kakuacha sijui my love
baby i don’t know
i don’t know
i don’t know
baby i don’t know
i don’t know
i don’t know
baby i don’t know

[verse 2]
onanaaaah oooh
ayah ayaaa
hatupendani wenyewe
tunapendwa na umati
watazunguka kote
kama sisi hawapati
baby unavyonipa
nikachori kalimati
wambea watachoka
kwa kufanya hisabati
[bridge]
nataka ujue (we wakw_ngu mie)
ringa jishauwe (we wakw_ngu mie)
usijibanebane (we wakw_ngu mie)
tamba wakujue (we wakw_ngu mie)

[chorus]
kama kukutenda sijui my love
jamani baby i don’t know
kama kukutenda sijui my love
mwenzako baby i don’t know
i don’t know
i don’t know
baby i don’t know
i don’t know
i don’t know
baby i don’t know

[outro]
nampenda mpenda nani
mtoto mmoja nani
mweupe kidogo nani
mweusi kidogo nani
eti nampenda mpenda nani
mtoto mmoja nani
mweupe kidogo nani
mweusi kidogo nani

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...