kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jay dddot - town to town كلمات الأغنية

Loading...

[intro: jay dddot and el dizzie]

yeah, yeah
yeah, yeah
blackcity live
it’s d.i double z i e
na jay dot

[hook: jay dot]

town to town, city to city
county to county (county to county)
ka una dili, hebu nakili
nambari ya akaunti (nambari ya account)
si bure hii sauti (si bure hii sauti)
lazima ukaunti (lazima u_count)
our price isn’t low
lazima ufike amounti (laziima)
town to town, city to city
county to county (county to county)
ka una dili, hebu nakili
nambari ya akaunti (nambari ya account)
si bure hii sauti (si bure hii sauti)
lazima ukaunti (lazima u_count)
our price isn’t low
lazima ufike amounti (laziima)
fika bei, fika bei (fika bei)
si bure hii sauti (yeah, yeah)
our price isn’t low
lazima ufike amounti (laziima)
fika bei, fika bei (fiika)
tujaze akaunti (jaza jaza)
our price isn’t low
lazima ufike amounti (laziima)

[verse 1: jay dddot]

jay d d
lazima ufike amounti (laziima)
kwenye kichwa nina bounty (bounty)
maeuro ndio mi nina county (county)
niko watamu, kilifi ndio county (county)
hesabu mpaka uwe dizzy (dizzy)
ni salah si hirizi (noo)
sisi tulipiga mbizi
off the ship, we were missing (missing)
now i’m chilling at the coast (coast)
if you fishy, i’m gonna roast (roast)
get a shilling not a loss (loss)
know where to channеl your force (yeah)
verifiеd, of course (verified)
glorified, flow refined
bro rewind the song (bro!)
if you wanna know what i’m about (yeah)
lazima ufike amounti (laziima)
kwenye kichwa nina bounty (yeah)
in the kitchen, east african girl
kiunoni amebeba djibouti
so usishangae ukiniona na
zile vitu madhubuti
after performance oya (yeah, yeah)
nieke juu ka makuti (nieke)
e_commerce, wanadhani hii ni bullsh_t
nafanya simple maths
ku_multiply mafulusi (multiply)
mi nafurahi, zi hunipa high
doh ni tamu kuliko p_ssy (tamu!)
after performance oya (oya)
nieke juu ka makuti
e_commerce, wanadhani hii ni bullsh_t (yeah)
nafanya simple maths
ku_multiply mafulusi (multiply)
mi nafurahi, zi hunipa high
doh ni tamu kuliko p_ssy (tamu!)
[hook : jay dddot]

town to town, city to city
county to county (county to county)
ka una dili, hebu nakili
nambari ya akaunti (nambari ya account)
si bure hii sauti (si bure hii sauti)
lazima ukaunti (lazima u_count)
our price isn’t low
lazima ufike amounti (laziima)
fika bei, fika bei (fika bei)
si bure hii sauti (yeah yeah)
our price isn’t low
lazima ufike amounti (laziima)
fika bei, fika bei (fiika)
tujaze akaunti (jaza jaza)
our price isn’t low
lazima ufike amounti (laziima)

[verse 2: el dizzie]
yeah
ongata rongai to watamu
d i double bado mi nina hamu
ya kusafiri, city to city
hadi jozi nifahamu
nishakuwa mtaalamu
na niko kejani we kamu
tuhesabu maganji, alafu
tupande train tukafike huko lamu (yeah)
i holla my homie jay dot
he told me he got kilifornia on lock (yeah)
tutakuja chachisha kwa spot (yeah)
we might just cruise in a yacht
you don’t believe me just watch
ka uko scared nakuwelcome kwa church
stacking cheddar, shika feelings ucatch
mi naskika toka nyeri hadi kach
vile nafanya nairobi (nairobi)
unaeza dhani nilischool huko pach (school huko pach)
[hook: jay dddot]

town to town, city to city
county to county (county to county)
ka una dili, hebu nakili
nambari ya akaunti (nambari ya account)
si bure hii sauti (si bure hii sauti)
lazima ukaunti (lazima u_count)
our price isn’t low
lazima ufike amounti (laziima)
fika bei, fika bei (fika bei)
si bure hii sauti (yeah yeah)
our price isn’t low
lazima ufike amounti (laziima)
fika bei, fika bei (fiika)
tujaze akaunti (jaza jaza)
our price isn’t low
lazima ufike amounti (laziima)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...