kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

james jozee - zilizopendwa كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
nipe mapenzi
nitahadharishe
huba hakika
mapenzi yapo
ama hamna

chorus:
nakupenda
ka zilizopendwa
kama bango
rumba
na benga x 2

verse 1:
rumba wewe si mtumba
ntakutunza kama kidole cha gumba
kisha nikuweke ndani ya nyumba
ntakufunga kiunoni
ntakuweka moyoni
penzi letu hakika halitotoweka

chorus:
nakupenda
ka zilizopendwa
kama bango
rumba
na benga x 2

verse 2:
bango
wewe ni mtamu
njoo tucheze wawili kwa nidhamu
taratibu wewe ni w-ngu kamili
ntakufunga kiunoni
ntakuweka moyoni
penzi letu hakika halitotoweka

chorus:
nakupenda ka zilizopendwa
kama bango
rumba
na benga x 2

verse 3
wewe binti nakupenda kama benga
utamu wako
uliniahidi hutanilenga
hutanitenga eeei eiii
wewe binti ooh nakupenda kama benga

[outro]
mapenzi ni nadra siku hizi
kuna matapeli na waizi
lakini wewe ni w-ngu saa hizi
na wimbo hii ni yako kabla huj-pata usingizi

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...