kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jambo squad - pombe zimelewa كلمات الأغنية

Loading...

[intro: ordinary]
mbona na kula raha hivi?
mbona natumia pesa hivi?
nakufa nini? eh?

[verse 1: bam & ordinary]
uh, usinitingishe
utaniharibulia mwandiko
tujichekeche ‘tule pombe na madiko
siunajua tumekuja na ma_pistol
hiko kizaga cha chuga ‘weka kwa kiko
uh, nimegombana na kitanda silali
gongo za matejoo ‘kwa kina w_lly ni hatari
hizo kreti n_z_panga ‘safari, sijui kama nitafika
tumboni kuna bahari

[hook 1: bam & ordinary]
uh, we ni nani?
(sijui)
kibarakoa?
(sijui)
we ni yupi?
(sijui)
luku umetoa?
(sijui)
[hook 2: ordinary]
ni jogoo na msumbufu za njia
umeanza lini bhana hizo pombe na bagia
usiogope mama kunywa nitalipia
taratibu bhana acha kufakamia

[hook 3: bam]
zikinishika sana ghetto nakimbia
naenda kujichana pisi kama mia
siogopi bhana nikishatupia
natongoza sana mpaka wapita njia

[pre_chorus]
unapeleka ngapi?, (tatu)
na wewe?, (nne tu)
anapeleka ngapi?, (tano)
na huyu?, (ni sita tu)
anapeleka ngapi?, (saba)
na wewe?, (nane tu)
unapeleka ngapi?, (tisa)
na huyu?, (k_mi tu)

[chorus]
pombe zimelewa
watu je?
eh, watu
pombe zimelewa
watu je? (mwеh!)
eh
watakuaje?
pombe zimelеwa (leta, leta, leta, leta!)
watu je?
eh
pombe zimelewa
watu je? (yesu yeleuwi)
eh
watakuaje?
[verse 2: ordinary]
uh, oriento esto stosfecho
skarieto osto na fiesto
na katoto esto sosfecho
na azonto ngelu maputo
tandam like shaa, ‘machakwera
ding_dang like dama, ‘chokora
kring kamweh ai’, excuse moir
papa like shabba, ‘kwishney
scooby doobie doo, boogie di, boogie boo
shigiddy boogie boo, boogie migebu
oliver, oliver
stoliver, stoliver
chocoleva, chocoleva
nitaleva, nitaleva
i got my disco, ‘mabangi ba
dark bai na di popo kwenye ma bar
dark bar
omar pah, hamis bangala
(hamis bangala)
asuu na maja

[chorus]
pombe zimelewa
watu je?
eh, watu
pombe zimelewa
watu je? (mweh!)
eh
watakuaje?
pombe zimelewa (leta, leta, leta, leta!)
watu je?
eh
pombe zimelewa
watu je? (yesu yeleuwi)
eh
watakuaje?

[verse 3: bam & ordinary]
nakunywa maji ya barafu halafu
natuliza na ndafu ndio ninywe maji machafu
namcheki bwana def’ alafu napuliza marashi ya chuga kwenye mapafu, uh
wanakuja, wanakuja
wako wapi?
wazungu na waarabu wanakuja
w_ngapi?
wanakuja, wanakuja
w_ngapi?
wazungu na waarabu wanakuja
w_ngapi?
ah, baba’ leo kila kitu nitasema
baba, akili mingi anatema
baba, leo siondoki mapema
baba, nikikatia ndio na hema
anazomea ardhi
usinywe ‘nyagi kama umeshindia maandazi
usilete vagi kama huwezagi mashazi
uza njia
uza njia
unasema?
uza njia
uza njia
unakata, kata
(uko wapi?)
[?]
uko wapi?
(kwa mama kichwa mbaya)
ah, hata siji

[chorus]
pombe zimelewa
watu je?
eh, watu
pombe zimelewa
watu je? (mweh!)
eh
watakuaje?
pombe zimelewa (leta, leta, leta, leta!)
watu je?
eh
pombe zimelewa
watu je? (yesu yeleuwi)
eh
watakuaje?

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...