kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jaivah - buruda كلمات أغنية

Loading...

[intro : jaivah]
mmmh baaad
aweeeh igama lami ngu_jaivah wena
aweeeh… aweeeeeh
aweeeeeh

[verse 1 : jaivah]
huyo mtoto kaniona kati nimependeza
kaona dorime, hiyo mitungi juu ya meza
ananiangalia huku macho _n_legeza
nami nampimia, akijitusu natembeza
huyo mtoto kaniona kati nimependeza
kaona dorime, hiyo mitungi juu ya meza
ananiangalia huku macho _n_legeza
nami nampimia, akijitusu natembeza

[pre_chorus : jaivah]
nikamwambia mitungi, buruda
washa hata kitu, buruda
na kama upo fresh na kama sio kesi
hapa hata mikasi, buruda
nikamwambia mitungi, buruda
washa hata kitu, buruda
na kama upo fresh na kama sio kesi
hapa hata mikasi, buruda
[verse 2 : jaivah]
nani jina lako…?!?
igama lami ngu_jaivah
igama lami ngu_coach
igama lami ngu_striker
ubani igama lakho…?!?
igama lami ngu_jaivah
igama lami ngu_coach
igama lami ngu_striker
si mtoto alivyoona venye nimepoa
ye akanichukulia poa
na mwanenu nnavyojua kukomoa
naweka kama natafuta ndoa

[chorus : jaivah]
nauliza niendelee… niache
(kwanini uache, kama umelianzisha
twende mpaka asubuhi)
nauliza niendelee… niache
(kwanini uache, kama umelianzisha
twende mpaka asubuhi)

[verse 3 : marioo]
aloooooh
limenibana kojo kojo kojooo
(kojo, kojo, kojoo)
kojo, kojo, kojoo
nimelewa sioni mbele, sioni nyuma
sioni juu, sioni chini tundu liko wapi
(la choo)
sioni mundu, sioni kijema
kwani njia iko wapi
(ya chooni)
kama nawakwaza s_m_ni
(hautukwazi tajiri)
kama nawaboa s_m_ni
(hautukwazi tajiri)
kama nina gubu s_m_ni
(hauna gubu tajiri)
kama ninabaya s_m_ni
(hauna baya tajiri)
shiih…
leo dj nani, chapa ngoma ya zuchu (honey)
anapiga nani, hebu ngoja nipokee… alooooh
(hey baby please, come back home please, i need you now)
k_mbe shemeji lenu anataka nirudi home
au ninyi mnasemaje
[chorus : marioo & jaivah]
nauliza niendelee… niache
(kwanini uache, kama umelianzisha
twende mpaka asubuhi)
nauliza niendelee… niache
(kwanini uache, kama umelianzisha
twende mpaka asubuhi)
nauliza niendelee… niache
(kwanini uache, kama umelianzisha
twende mpaka asubuhi)
nauliza niendelee… niache
(kwanini uache, kama umelianzisha
twende mpaka asubuhi)

[outro]
limenibana kojo kojo kojooo
(kojo, kojo, kojoo)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...