kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jaffarai - kambagaa كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
weeh! i’m not_, i’m not idle, i’m busy at fishcrab
ask shakii, me, kamar, abbas kubbaff, (?)

[hook]
najuwa una feel crazy
kila mmoja wetu hataki kuwa lazy
kwa mademu na machizi ‘wote twajumuika tunawasha something

[chorus]
nipo kambagaa (shak!lla)
nipo kambagaa (abbas kubbaff, yeah)
nipo kambagaa (hii ni mpya, c,mon)
nipo kambagaa (mandugu digital)

[verse 1]
i’m from way back like the back of a maybach
even if i die, baby ‘i’ll be back
i’m back like the back of your b_tch behind
i sat like a (?) from a (?) sublimes ‘of charm and wine
nauliza mapesa ‘wewe ushacheki za bobi wine?
vannesa ‘ushawahi cheki baby wa mine?
ka uko na nare si u_set basi fegi ya mine
metropolitan sana nicheki kwenye grape divine
usi slack na time ‘ni compass, nimewa_divide, ( nimewa_divide )
ha
yangu iko crooked kama wеstie, nje ya (?), sare sarit
niko smooth kama margarinе, na p na hii funk
niki_smoke this skunk ‘mic check “one, two”
bila bugi ya bangi ‘na dunk big time kama shaq kwa choo ‘orlando
hawa wasee siku hizi huskilizanga mandombolo
niko bananas badala ya korobosho ‘adios amigos, tuonane (?)
(?)
[verse 2: jaffarie]
kambagaa, kambagaa
kama hivi navuta raha
na lamar, na kamar ‘nairobi
kama noma ishakuwa noma ‘machizi wapo kila kona
nipo kambagaa ‘haunioni mi nakuona
nimejichoma, nimeshapona ‘nipo fit ile kinoma
(niko kambagaa)
sana zaidi ya jana ‘ya leo inabamba sana
nimeshtuka, nimelanduka, niachie ni enjoy, bwana
kila nipatapo mwanya ndivyo hivyo mi hufanya

[chorus]
nipo kambagaa ( shak!lla )
nipo kambagaa (abbas kubbaff, yeah )
nipo kambagaa ( yeah, hii ni mpya )
nipo kambagaa ( mandugu digital )

[verse 3]
niko kambagaa ‘na sio zile za nando’s
mi ni ambassador ‘na account iko kwa mansion
mikutano ilikuwa junction ‘ka nitakaa
na torture ilikuwa guantanamo ‘ma stone ka colorado
ma_pirate washakaribia ‘unda siri za calypso
mavago ‘ama ukule urako, bako (?) na ingine ya tobacco
na hii ingine ya state toka ushako ‘ganja farmer
(?) carlos hamna noma tu kusoma, tumejichoma
tu kariobangi to dondorra
chora noma
yeah
[verse 4: abbas kubbaff]
yeah
tupo kambagaa ‘man (?) natamani ka hamburger
nipe change uko nayo na handbag
batty man and i’m robbin’ everyone ‘just for fun
burberry yaani schwartz, n_gga
polo an (?) na dawa ya kichwa ‘bas kwa pan
imefanya na discover kama vasco da’
gama ‘nawa shoot na mabastola
bado na smoke kama pistola ‘lunchtime nakula (?) na ki pepsi_cola
overseas tukiingia tuna cash dollars (ch_chi_ching)
wanajua tuko cool tume (?)
niko na kambagaa ‘shakii, “i’m busy” ‘abbas kamar
k_south, k_shaka ‘no doubt

(talk of the town, lamar ‘its a fish crab cookout, oouh…!)

[chorus]
nipo kambagaa (shak!lla)
nipo kambagaa (abbas kubbaff)
nipo kambagaa (hii ni mpya, yah)
nipo kambagaa (mandugu digital)

[hook]
najuwa una feel crazy
kila mmoja wetu hataki kuwa lazy
kwa mademu na machizi ‘wote twajumuika tunawasha something
[chorus]
nipo kambagaa (shak!lla)
nipo kambagaa (abbas kubbaff)
nipo kambagaa (hii ni mpya, yeah)
nipo kambagaa (mandugu digital)

[repeat chorus]
nipo kambagaa (shak!lla)
nipo kambagaa (abbas kubbaff)
nipo kambagaa (hii ni mpya, yeah)
nipo kambagaa (mandugu digital)

[outro: lamar]
talk of the town, lamar ‘its a fish crab cookout
it’s a fish crab cookout, its a fish crab cookout

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...