kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jabali afrika - rumba ya sasa كلمات الأغنية

Loading...

shwaa!
eh rumba matata
muziki ya wazee na vijana
kama inakubamba
kanyaga dance floor!

nishike mkono
mshike kiuno
pande kwa pande
yeye ni wako
nishike mkono
mshike kiuno 
pande kwa pande
yeye ni wako

ni siku nyingi sija kuonyesha good time yeah
nakushukuru kunilelea watoto yeah
weka marashi, vaa rinda lako nzuri yeah
nishike mkono
ni mimi nawe leo

tabasamu ni kuk_mbushe siku zetu yeah
nishike mkono utulize roho yako yeah yeah!

nishike mkono
mshike kiuno
pande kwa pande
yeye ni wako
nishike mkono
mshike kiuno
pande kwa pande
yeye ni wako

cherie nangai
shah yaka to
bina maman ah
ba mbula eleki naza
kaka nayoo
yonde w_ngai wa motema eh eh
ata balobi nini
ata basali nini
nako tika yote eh eh
yonde mwasi ya libela

mikolo oyo
batu bazo
seka biso po toza na mbongo te
mais bazo oublie bolingo oyo
naza na yango epayi nayo yaka cherie

nishike mkono
mshike kiuno
pande kwa pande
yeye ni wako
nishike mkono
mshike kiuno
pande kwa pande
yeye ni wako
(vien dance with me)
(vien cherie, my babe)

na songi songi balingi bakabola biso eh eh
mais bako kokate bolingo na biso eza ya solo eh eh
ba kolo balobaki, ba babu, ba koko
batu nyonso baleki biso age
kama ukingali na meno vunja mifupaaa
le grand maitre de maitre
freddy machoka
to ndimi yo grand
bakolo rumba

nishike mkono
mshike kiuno
pande kwa pande
yeye ni wako
nishike mkono
mshike kiuno
pande kwa pande
yeye ni wako
nishike mkono
mshike kiuno, (jabali afrika)
pande kwa pande (yeah)
yeye ni wako
nishike mkono, (kono)
mshike kiuno, (kiuno)
pande kwa pande (ahh)
yeye ni wako

(bakolo rumba)
(culture hub)
(jabali afrika)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...