
jabali afrika, justo asikoye - malaika wangu lyrics
nakupenda
nilipokuona mara ya kwanza
nilikupenda
urembo wako tabia
huku kote wasifika
tabasamu sura nzuri
umbo wa kupendeza
bidii zako heshima
zaenda sambamba
malaika w_ngu
nakupenda
sura yako nzuri
ni maua ya kupendeza
malaika w_ngu
nakupenda
sura yako nzuri
ni maua ya kupendeza
malaika
nakupenda, ehh
naomba unipe fursa
nikujue vizuri mpenzi
niwajue wazazi
familia yako yote
unipe fursa ni kutunze
najua siko kamili
nitajaribu mpenzi
utabasamu maishani mwako eeh
malaika w_ngu
nakupenda
sura yako nzuri
ni maua ya kupendeza
malaika w_ngu
nakupenda
sura yako nzuri
ni maua ya kupendeza
ooh, hey, ooh, malaika
ooh, nakupenda, ooh, ehh
sura yako nzuri (ehh)
ni maua ya kupendeza (ehh)
malaika w_ngu (w_ngu)
nakupenda (nakupenda)
sura yako nzuri (hehh)
ni maua ya kupendeza
Random Lyrics
- jason chen - i knew you were trouble lyrics
- matielli drunk - drogas e mulheres. lyrics
- leopold and his fiction - ride lyrics
- elz byfar - carrying the wait lyrics
- hamza susic - bella lyrics
- glashaus - sonnenschein lyrics
- 1.kla$ & czar - die letzte nacht lyrics
- nashville cast - all of me lyrics
- smw lyrics
- diiix - creuser le gap lyrics