kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

j93 - wewe كلمات الأغنية

Loading...

east african on the beat

chorus (j93)
nakuwaza wewe
nakupenda wewe
nakuwaza wewe
nakupenda wewe
nakuwaza wewe
nakupenda wewe
nakuwaza wewe
nakupenda wewe

verse 1 (j93)
umenibadilisha tangu nimekupata we (aaah)
sihitaji tena mpenzi zaidi yako baby we (aaah)
karata ya mapenzi nimelamba kwako wee (aah)
mkeka w_ngu unasoma jina lako wee
vile unavyonipa nipa mchizi me nadata data
kwako siwezi toka toka gundi nimenata nata
popote utapokwenda kwenda nyuma nitakufata fata
maneno wanaongea ongеa me sijali hata hata
yeah
ikifika jioni mpenzi w_ngu nipigiе (aaah)
kama kuna ubuyu kidogo nigawie (aaah)
kama nimekuuzi baby w_ngu niambie (aaah)
hakuna zaidi yako wewe ndio w_ngu bibie
chorus (j93)
nakuwaza wewe
nakupenda wewe
nakuwaza wewe
nakupenda wewe
nakuwaza wewe
nakupenda wewe
nakuwaza wewe
nakupenda wewe

verse 2 (orbit makaveli)
yeah
nakupenda wewe, wewe wewe
nakuwaza wewe, wewe wewe
naomba uelewe lewe hakuna mwenginewe newe yeah yeah
ah
daily nawaza kwanini unakaza un_z_la you never the same
ever since nimeanza kufanya harakati kwa hasira kwenye hii game ya music
baby i don’t wanna loose you
na kama ukitaka niache kufanya it’s fine coz i wanna please you
but is you, really in love with me or just a player?
naulizia kwa maana nisije nikazama deep k_mbe napotea
yeah

chorus (j93 and orbit makaveli)
nakuwaza wewe
nakupenda wewe
nakuwaza wewe
nakupenda wewe(wewe wee)
nakuwaza wewe(wewe weee)
nakupenda wewe (wewe weee)
nakuwaza wewe (wewe wee)
nakupenda wewe (wewe wee)
gano on the mix….

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...