
j 93 - jina كلمات أغنية
intro(j93 and bravo the son)
yeah j93
yeah yeah yeah yeah
yeah yeah yeah yeah
yeah yeah yeah yeah
verse 1(j93)
kwa jina la baba wale marehemu
wote wapumzike toka kila sehemu
mademu wanadata jina la atm
wengine wanamegwa jina tu la fame
jina la tamaa wanakufa
anachomwa tu kwa sabufa
kutafuta kwao ni ulofa
huna hata stuli vipi sofa?
jina changuduo mwisho wake kuchezewa
bure ukikaa mafanikio kuchelewa
jichanganye mtaa liziki yako utapewa
jina la k-mega ipo siku utamegewa
zidi kuzubaa jina mzembe
changamka upate jina jembe
tafuta za kwako mshika pembe
akizingua mpe jina aende
chorus(bravo the son)
ooh hilo jina tu
ziwezi kupagawa na hilo jina tu
ooh hilo jina tu
acha kuchachawa na hilo jina tu
verse 2(j93)
ujanja mwingi kichwani
huna hatua fulani
jina la boya kitaani
umepewa utani
mcha mungu jina mlokole
utachelewa jina mwenda pole
kila siku chini jina sorry
simba mwenye njaa haachi pori
hutaki kazi
wewe paparazi
jina mjinga ni wewe
huna makazi
wala maradhi
jina mkimbizi ni wewe
toa sadaka sambaza dini
jina ibada ni wewe
daily kuchunwa
penzi hupati
jina ulofa ni wewe
chorus(bravo the son)
ooh hilo jina tu
ziwezi kupagawa na hilo jina tu
ooh hilo jina tu
acha kuchachawa na hilo jina tu
eyoo eyoo eyooo hilo jina tu
eyoo eyoo eyooo hilo jina tu
eyoo eyoo eyoo hilo jina tu
eyoo eyoo eyoo hilo jina tu
yeah yeah yeah yeah
yeah yeah yeah yeah
yeah yeah yeah yeah
كلمات أغنية عشوائية
- pilot (nepal) - budi maau كلمات أغنية
- dvdx - sorta kinda كلمات أغنية
- truse - a loss for words كلمات أغنية
- michael english - god rest ye merry gentlemen كلمات أغنية
- floral bugs - 3 krokodyle كلمات أغنية
- david shawty - btchd up كلمات أغنية
- jay park, woodie gochild, haon, ph-1, ourealgoat - check my bio كلمات أغنية
- kyyro - social anxiety كلمات أغنية
- real kilroys - attention, please! كلمات أغنية
- herasita - south hoes كلمات أغنية