
it'sbill - nakusaka كلمات أغنية
eh
a_ha
(on the beat kama kawa)
[intro: k. hashi]
kamami mi nataka kupa
kila kitu, mi natupa
kamami mi nataka kupa
kila kitu, mi natupa
[chorus: elvin ega]
oh
niko juu ya handas baby
nikikuita unalenga baby
nikikutaja unarun away we
‘taka nifanye nini my baby
nami nami niko rada
nakusaka
nakusaka
mami, nami niko rada
nakusaka, nakusaka oh
[post_chorus]
unashangaa kwa nini nakufuata
unashangaa kwa nini nakusaka
ni wewe tu ndio nataka
ni wewe tu ndio nasaka
unashangaa kwa nini nakufuata
unashangaa kwa nini nakusaka
ni wewe tu ndio nataka
ni wewe tu ndio nasaka
[verse 1: k. hashi]
msupa siku mob nakufuata fuata
fine girl toka pa_na_ma
na ipo siku moja nitakupata pata
venye we ni mtamu oo_la_la
you can be my shawty ama baby ma_ma
bana bana bana
ni we (msupa)
ni we (msupa)
ni wewe (msupaaa)
ni we (msupa)
ni we (msupa)
ni wewe (msupaaa)
[pre_chorus: k. hashi]
kamami mi nataka kupa
kila kitu, mi natupa
kamami mi nataka kupa
kila kitu, mi natupa
[chorus: elvin ega]
niko juu ya handas baby
nikikuita unalenga baby
nikikutaja unarun away we
‘taka nifanye nini my baby
nami nami niko rada
nakusaka
nakusaka
mami, nami niko rada
nakusaka, nakusaka oh
[post_chorus]
unashangaa kwa nini nakufuata
unashangaa kwa nini nakusaka
ni wewe tu ndio nataka
ni wewe tu ndio nasaka
unashangaa kwa nini nakufuata
unashangaa kwa nini nakusaka
ni wewe tu ndio nataka
ni wewe tu ndio nasaka
[bridge: k. hashi]
kamami mi nataka kupa
kila kitu, mi natupa
kamami mi nataka kupa
kila kitu, mi natupa
[verse 2: nick d the rapper]
kamami mi nataka kupa
kila kitu hadi nivunje mifupa
uko fit ka ile label ya puma
hao wengine ni sura tu za chura
girl you’rе my, you’re my forever
plеase come and stay with me
girl you’re my, you’re my forever
please come and stay with me
please come and stay, ay
please stay with me
كلمات أغنية عشوائية
- izzy lucid - she's been waiting (interlude) كلمات أغنية
- sonny and the sunshine bandits - this house is empty كلمات أغنية
- bring me the horizon - go to hell for heaven's sake (rogue remix) كلمات أغنية
- soukou - too much كلمات أغنية
- steve adamyk band - bored of love كلمات أغنية
- hqwilli - fall كلمات أغنية
- cam steady - mewtwo! كلمات أغنية
- lumière (qc) - point.de.fuite كلمات أغنية
- chrisjenkins - truthnolie كلمات أغنية
- eg.danik - bodybag كلمات أغنية