kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

issai ibungu feat. 20 percent - mama neema كلمات الأغنية

Loading...

baby crying…

nik_muona neema na muonea huruma

ananijua baba, hakujui mama na…
namshukuru mungu neema yusalama ah
ila ananipa machungu; “baba wapi mama?”

ananiuliza maswali mengi na makali
kila nikitafakari huwaga mi′nak_mbuka mbali

mama neema neema ulimuacha na siku nane eh!
hukuta_ kungoja ili neema wako anyonye eehh
mama neema neema ulimuacha na siku nane eh!
hukuta_ kungoja ili neema wako anyonye eehh

hivi mi nina nuksi gani?!
au mimi nina mkosi gani?!
au kuna kitu, kwa ndugu, jamaa, na majirani eyi?
naogopa kusema dhambi kwa maanani!

nilizaa kamwana vikashindikana
kama bahati bwana, nilikupata kimwanana
nikasema na tuzae watoto watusaidie baadae
ulilipokea kwa furaha, ulinifuata nikuk_mbatie

k_mbe wewe nakupa passport utangulie
ilipangwa wewe utangulie mwao abakiye

mama neema neema ulimuacha na siku nane eh!
hukuta_ kungoja ili neema wako anyonye eehh
mama neema neema ulimuacha na siku nane eh!
hukuta_ kungoja ili neema wako anyonye eehh

kila ninako kwenda neema yuko nyuma yangu mie
na mi’siwezi k_mtenga, kwani baba mie mama mie
mara acheke mara alie, neema mara anitanie
naomba mola amjalie na wazo la mama lisimjie

najua haiwezekani kwa kila aliye duniani
ana miaka k_mi kila siku mama yusafarini
na maswali ya kizushi “mama atarudi lini ih?”

na yak_mbuka mazishi minabaki na uzini
mimi nilie, au ninune?
hivi nini eeeh mimi nifanyee?

mama neema neema ulimuacha na siku nane eh!
hukuta_ kungoja ili neema wako anyonye eehh
mama neema neema ulimuacha na siku nane eh!
hukuta_ kungoja ili neema wako anyonye eehh

20 percent, 20 percent, 20 percent
man water, man water, man water

mama neema neema ulimuacha…
hukuta_ kungoja ili neema…
mama neema neema ulimuacha…
hukuta_ kungoja ili neema…

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...