
isaadmusic - nakuwazaga كلمات أغنية
Loading...
ukaribu mi na we
masiara yetu yaligeuka utani
kuwa nawe daily
ndio kitu niliwazaga
na imani tele
imenijaa ndani
kwamba sina mpinzani
kuwa nami wewe
ndio kitu hukutaga
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
ujue nakuzawaga
bado nakuwazaga
bado natakaga
wewe
sinaga na mbadala
sita mie ndio saba
wewe ndio nakutaka
wewe
nakuzingatia wewe
sina nia na wengine
nakutazamia we
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
nakuzingatia wewe
sina nia na wengine
nakutazamia we
bado nakuwazaga
كلمات أغنية عشوائية
- princess vitarah - money on my mind كلمات أغنية
- nirvana - live كلمات أغنية
- jorge celedón feat. binomio de oro de américa - no pude olvidarte كلمات أغنية
- marchan noelle - secrets (paint me away) كلمات أغنية
- jeffrey james - carry you كلمات أغنية
- first aid kit - america كلمات أغنية
- joshua james - dramamine كلمات أغنية
- indra rios-moore - money كلمات أغنية
- dhat-stunner kid - look at me hoe كلمات أغنية
- stone division - halo كلمات أغنية