
isaadmusic - ananipenda كلمات أغنية
[intro]
ananipenda
nami nikishapendwa
n_z_disha kupenda
[verse 1]
penzi lake tamu limenikolea
ni mapenzi kwake tu yanaongea
hamuoni kama niko naelea juu
sweet, sweet love
napenda unavonipa
vurugu, patashika
mi nawe tu
hisia
na wivu unanishika
ikipita dakika
sijakuona, boo
[bridge]
nikikosea, baby, nitasema sorry
ulivo mcute cute kama kamdoli
unavonitazama, macho ya gololi
ninaamka pale wewe unalala
tunapendana kweli, sio masihara
wanangojea siku si tunagombana tu
[chorus]
ananipenda
nami nikishapendwa
n_z_disha kupenda
akinitenda
mwenzenu nitakonda
nitashindwa kuhema
[verse 2]
nikisema nakutaka
sema nakutaka pia
nakutaka (nakutaka)
nikisema nakupenda
sema unanipenda, dear, unaniwaza
(unaniwaza)
aibu, usione aibu
njoo kando yangu, mpenzi karibu
niwe nafurahi
uwe na furaha
jaribu, yani jaribu
kutulia nami uone majibu
ninakutamani
nawe unanitaka
[bridge]
nikikosea, baby, nitasema sorry
ulivo mcute cute kama kamdoli
unavonitazama, macho yagololi
ninaamka pale wewe unalala
tunapendana kweli, sio masihara
wanangojea siku si tunagombana tu
[chorus]
ananipenda
nami nikishapendwa
n_z_disha kupenda
akinitenda
mwenzenu nitakonda
nitashindwa kuhema
[outro]
ananipenda
nikishapendwa
kupenda
akinitenda
nitakonda
kuhema
كلمات أغنية عشوائية
- double echo - the watch كلمات أغنية
- jules massenet - comme autrefois كلمات أغنية
- tonha - blitzangriff كلمات أغنية
- israel b & lowlight - bogotá freestyle كلمات أغنية
- ymmdilla - rock & roll كلمات أغنية
- lil оnion - demo كلمات أغنية
- jeroen van merwijk - coalitie y كلمات أغنية
- world5 - that kind of guy كلمات أغنية
- vasudev - memories كلمات أغنية
- absent & young lime - immer woanders كلمات أغنية