kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

iodine kenya - sara كلمات الأغنية

Loading...

sara weeee sara wee
sara weeee sara wee
sara weeee sara wee
sara weee sara mama×2 sara wewe 2nd

(sema maneno yako ya mwisho)

h_llo mambo vipi natumai, nyote mko salaama
uku mjini bado ngumu kazi ila nang’ang’ana
kukosa sio kosa naomba unielewe babie
kukopa nakopa mjini nimejaa madenii
kuota naota ndoto nikiendesha range
ila yoote, tisa k_mi, niombee mwenyeziii

miaka tano hatujaonana, ivi uko vipii?
natumai yuh salama, kila kitu swalii
mwanangu tiffa natasha, vipi yake halii?
akiulizia, mpe moyo mwana, ipo siku nitarudiii

oh my nilikosea, anisamehe nzambee
hii shilingi, pata potea
mf_koni ukamee
me najua,,, nilipotea,,, ulidhani starehe
umaskini,, ila nombeeee
kwenye hu mziki nipepeee
sara weeee sara wee
sara weeee sara wee
sara weeee sara wee
sara weee sara wewe×2

(beats xaxaphone)
ata wani, pige mawe, bado niko na wewe
moyo w_ngu, upo nawe, ata dunia niage
msalimu, na mamangu, mwambie nampenda
mpe nguvu, oh babangu, mwanae nitapenya
(bolingo bwa nzambe
boleki bonene×2)
sara weeee sara wee
sara weeee sara wee
sara weeee sara wee
sara weee sara wewe×2

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...