iodine kenya - for yo كلمات الأغنية
ah lalalalalala
lalalallallallalallall
mburingo na ngaii
natamani nikupe ila sina
hati miliki ya dunia nzimaa
nikupe vyotevyote vya dhamanaaa
karne porche,ferari, gucci au gavana
najua unanipenda namiii nakupenda pia
so usije niacha mwaya penzi nikalijutia
yani kitandani magori unavyio yafunga ka (mariga riga)
katoto fine, rangi ya wine, ka kitembea (kanaringa ringa)
piga selfie, tujiposti
beibe love, beibe love
na ma_exi, wakitucheki
oleee waooo
piga selfie, tujiposti
beibe love, beibe love
na ma_exi, wakitucheki
oleee waooo
aaaaaala alalala
(lemme siing for you) aaaaaala alalala
(dedication for you) aaaaaala alalala
(let me sing sing for you) aaaaaala alalala
(coz beibe i lovе you) for you, for you, for you
wanna sing for you for you
na usijetekwa na mbaba doro ukaniachaaa
ukanizimia simu, nikipiga mteja
bado nahustlе kesho nikuzawidi kiwanzaaa
bora piga goti sali niombee ebenezarrr
maana weeeee ndo daidai (nae dai, nae dai, nae dai)
every night and day (ndo, nadaidai, ndo, nadaidai)
weee wa wapekeeeeee (ndo, nadai, ndo nadai, ndo nadai)
in the dark and light ( ndo nadai, ndo nadai)
piga selfie, tujiposti
beibe love, beibe love
na ma_exi, wakitucheki
oleee waooo
piga selfie, tujiposti
beibe love, beibe love
na ma_exi, wakitucheki
oleee waooo
aaaaaala alalala
(lemme siing for you) aaaaaala alalala
(dedication for you) aaaaaala alalala
(let me sing sing for you) aaaaaala alalala
(coz beibe i love you) for you, for you, for you
wanna sing for you for you
كلمات أغنية عشوائية
- teràpia de shock - 10 anys كلمات الأغنية
- nf - all i do كلمات الأغنية
- mintrio - høst كلمات الأغنية
- 盧冠廷 - 舍不得你 live كلمات الأغنية
- badoxa - se eu pudesse كلمات الأغنية
- beyoncé feat. james blake - forward كلمات الأغنية
- optimus feat. dbaby the real - tu llamada (feat. dbaby the real) كلمات الأغنية
- diamond white - dangerous woman كلمات الأغنية
- puggy - you are كلمات الأغنية
- gitano - semmi nem elég كلمات الأغنية