kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

imaqb - sin habari كلمات الأغنية

Loading...

intro:
yeeah its ur boy qb,in the building
duppy i see you,deddy let’s go

chorous:
najua kila nachofanya awapendi
sili bata wengine wanahisi kama na spend(wanaongea)
nshakutana na vingi wenye chuki na me mnanifunza vingi, (sijali x3)
sina habari nanyi, (sijali x3)
sina habari nanyiii

verse.1
yeeeah
hey,me sina habare maneno mnayosema ni bado yale yale
mliponikuta nimesimama mnataka nibaki pale pale,muna wish kapa nilale nyie mkale na mka party
and i thought mgebadilika (noo)
guess nyie ni wale wale,na manuel mliyemjua yule ni wa kalee (aaargh)
wa sasa me ni hatare navyosaka money ukinikuta sijali kam kuna jua kale
so we kesha all day
all the words we say
me nasaka izo way
za kupata io way
mabaya niombee,na uzima nikuombee’we ubaki unanicheki me na flex all day,and to god i pray tena everyday
protect my family in any kinda way (anhaaa) x2
baki hapa n-gga me nasonga pale
maneno mnayosema kw-ngu hayana tarehe
and all the tingz kw-ngu ni shwaree
bagambile bona success ndo yangu habari

chorous:
najua kila nachofanya awapendi
sili bata wengine wanahisi kama na spend(wanaongea)
nshakutana na vingi wenye chuki na me mnanifunza vingi,(sijali x3)
sina habari nanyi, (sijali x3)
sina habari nanyiii

verse.2
na still sina habari me ndo kubwa yangu sera
we sema unachosema trust me haitanikera
maneno siku hizi ni ela so kua clever big fella
and tumia fursa ue kama sam mahela
sio daily unakaa tu kitaa
we unawaza kipi nimevaa
au kama nimelala njaa
au kama nina sehem ya kukaa
au kama demu w-ngu ana raha
au kama nime stuck balaa,we ndo unahisi utapata raha naaah
siku utakuja gundua baada ya kukesha kuomba io mvua kua,tope litakuja sumbua ah x2
so we say watchu say me kwa mungu tu i pray
just to see another day
na sijali we sema chochote unachoweza,ni shware icho ndo kitu mnachoweza
kuchukua ni bure ndo maana wengi nyie mnaweza itapokua inahitaji fedha…amtowezaa

chorous:
najua kila nachofanya awapendi
sili bata wengine wanahisi kama na spend(wanaongea)
nshakutana na vingi wenye chuki na me mnanifunza vingi,(sijali x3)
sina habari nanyi (sijali x3)
sina habari nanyiii

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...