
ilagosa wa ilagosa - sala zangu كلمات أغنية
sala zangu lyrics
(sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w_ngu
unisikie bwana, unikaribie leo)×2
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w_ngu
nilipokuwa kwenye shida ulinik_mbuka bwana
dunia iliponigeuka ukawa upande w_ngu
niliposhindwa na maisha ulikuwa upande w_ngu
dunia iliponigeuka ukawa upande w_ngu
maombi yangu yote bwana naleta mbele zako
na sala zangu zote natoa mbele zako
(unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w_ngu)×2
dunia yote ni yako bwana
wewe ndiwe muumbaji
tukimbie wapi kama wanadamu tuepuke mauti
ndipo nainua macho kuelekea bwana
msaada w_ngu wote leo watoka mbele zako
maombi yangu yote naleta mbele zako
na sala zangu zote naleta mbele zako
(sala zangu zote naelekeza kwako e mungu) ×2
unisikie bwana, unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w_ngu
unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w_ngu
unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w_ngu
(miguuni pake yesu
mimi nimejiachia
nifundishe nifinyange
kama vile upendavyo)×2
unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w_ngu
unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w_ngu
كلمات أغنية عشوائية
- дима бамберг (dima bamberg) - 20 bars (russian flow exclusiv) كلمات أغنية
- deadcoаst - с тобой (with you) كلمات أغنية
- bubzee - sleepless كلمات أغنية
- squarehead - stop, drop & roll كلمات أغنية
- central park cast - the name is johnnie lee كلمات أغنية
- the paydays xp ! - one pretty morning كلمات أغنية
- youngi król - święta كلمات أغنية
- jemr - contacto supremo كلمات أغنية
- jamie (제이미) - 3d woman كلمات أغنية
- thaddeus & crimson - $tronger drink! - stronger drink! كلمات أغنية