
iceboy - ex lyrics
nyumba huwez jenga bila msingi
gari bovu haliwezi kwenda bila kigingi
secondary huwezi fika bila msingingi
kama kupenda nilipenda hilo sipingi
ulidanganywa na soda
k-mbe ndani wametia juice colla eeeh
ukaniacha me bado
wenye nazo wakakubena na korola eeeh
ulitoroka manamba
ukabebwa na washamba
rafu ukacheza bila kipenga
kisa ugali na mirendaa
nik-mumbuke nini kwako wewe
hukuniamini bwanaa
hivi niliwaza nini kua na wewe
mtoto wa mjini sanaaa
chorus
ex ulinitesa sana bwana ex
uliniumiza sana bwana ex
sitaku miss maana nishaweka x-x-x-x
ulinitesa sana bwana ex
uliniumiza sana bwana ex
sitaku miss maana nishaweka x-x-x-x
nili kaza roho kaza roho
sikua nalala mpaka majogoo majogoo mama
ulidata na wale mabishoo
wazugaji k-mbe hawana doo hawana doo mama
nishapata mke mamiroo
nishamuweka ndani ya bangaro bangaro mama
ananipenda namlinda
hawezi niacha ye ndo kuku me kinda
nacho mpenda anavimba
nachumbani kila mech anashinda
nik-mumbuke nini kwako wewe
hukuniamini bwanaa
hivi niliwaza nini kua na wewe
mtoto wa mjini sanaaa
chorus
ex ulinitesa sana bwana ex
uliniumiza sana bwana ex
sitaku miss maana nishaweka x-x-x-x
ulinitesa sana bwana ex
uliniumiza sana bwana ex
sitaku miss maana nishaweka x-x-x-x
Random Lyrics
- young deji - flaws & all lyrics
- nadia schilling - so we're here lyrics
- lil playah - lost lyrics
- meloblac - emorag j lyrics
- hard christ - break stuff lyrics
- nate joel - it was written lyrics
- hellbringer - dark overseer lyrics
- green day - basket case (live) lyrics
- the jack-o-lanterns - the plague doctor lyrics
- d@ni$$immo - я не стану как ты [i will not become like you] lyrics