
ibrah nation - naamini كلمات أغنية
oyeye yaaah ayaah
mmmh yei yei eeeh aaah yeiyeyeye
baby pamoja na yote niliokupa pia nilikupa moyo w_ngu ili ukae nao
ooh leo upendo unanifanya nalia machozi
ya furaha mboni yangu imeshindwa kutazama.
(pendo langu umelizima ka mshumaa
umenidharau umeninyima hata heshima)
kama wamekwambia me nakuzingua amini na siku moja ukweli utaujua
hutofurahia penzi bandia na kweli lipo kw_ngu na we hujaridhiaaa aaah
bado naamini (mi naamini)ntakua na wewe (mi
naamini) j_po uthamini (mi naamini)ila chaguo langu ni wew
bado naamini(mi naamini) ntakua na wew(mi naamini) j_po uthamini(mi
naamini) ila ntakua na wew kua na
wee aaah aaah aaah mmmh yeyeyeeeh mmh
kama ni kosa mi kukupenda wewe semaga unanichukia aaah marafiki
wanasemaga halifichiki pendo mamio nikikuona
mwenzio najawa na furaha nakufikiria sana waah
(pendo langu umelizima ka mshumaa
umenidharau umeninyima hata heshima)
kama wamekwambia mi nakuzingua amini na siku moja ukweli utaujua
hutofurahia penzi bandia na kweli nipo kw_ngu na we hujaridhiaa aah
bado naamini (mi naamini) ntakua na wew mi
naamini) j_po uthamini (mi naamini)ila chaguo langu ni wee
bado naamini (mi naamini) ntakua na wew(mi naamini) j_po uthamini (mi
nnaamini) ila ntakua na wewee kua na
weee eiyeiyee aah love you babeee aah
كلمات أغنية عشوائية
- hazel dickens & alice gerrard - mary johnson كلمات أغنية
- middle kids - summer hill كلمات أغنية
- izzpot - live'o كلمات أغنية
- coi leray - ok yea! كلمات أغنية
- weeekly (위클리) - after school كلمات أغنية
- doug firebaugh - losers كلمات أغنية
- débora miranda - quero falar de um deus كلمات أغنية
- zé nelson - sonho de um caipira كلمات أغنية
- 倖田來未 (kumi koda) - あなただけが (anata dake ga) كلمات أغنية
- killcrey - claustrophobic كلمات أغنية