
ibraah - nimekubali كلمات أغنية
[paroles de “nimekubali”]
kapipo on the beat, hey eeeh
ooh nanana, ooh mamama
maulana mmmh
(kapipo)
kapu limeshajaa
mapitilizo maudhi yamezidi
moyo w_ngu uko mbali nawe
soko la karafuu umeuza dagaa
na ule utamu umeugawia kijiji
umenipa donda la roho
isipagawe
mungu amenipa ufahamu
natambua lipi chema na baya
usizuge kwa tabasamu
k_mbe huna lako moyoni
na nishazoea mila
kikwetu kusema sema ni roho mbaya
ningalikuwa na uwezo
mwanzo ningekuficha mf_koni
ulinidanganya k_mbi k_mbi
nilale bila chandarua
k_mbe mbu nang’ata
si ulinikung’uta mavumbi
nilipo omba nyingi dua
ukaniondolea mashaka
mapenzi hayalazimishwi
haukuridhiana na mimi nenda
ila nakuombea
ukaishi maisha mema
pia siwezi na silazimishi
labda sina dhamani, huenda
kuondoka kwako kw_ngu
mungu akaleta mema
nimekubali mimi, j_po ni maumivu ila
nimekubali mimi, j_po hutoki kwa akili yangu unaizunguka
nimekubali mimi, nimekubaliana na wewe eeh
nimekubali mimi, nimekubaliana na weee
j_po ni ngumu ka imenikwama miiba
maana kwa ndani ndani bado inanichoma
na maumivu huwezi yasikia
nayasikia mwenyewe tu
na hali ya upweke sio kawaida
najua dhahiri kuwa na kinyima amani
stress ingekuwa kilevi
ndio kulala na viatu
jua mwana ukiyataka ndo mwana kuyapata
mungu hamnyimi mja wake
usinung’unike kwa utakacho kipata
maana ndo unachotafuta
umekuwa gari la taka, haunaga tabaka
umekosa hadhi ya mwanamke
tulia yakufuate magari bovu
ndo kutwa ukafuata fuata wee
mapenzi hayalazimishwi
haukuridhiana na mimi nenda
ila nakuombea
ukaishi maisha mema
pia siwezi na silazimishi
labda sina dhamani, huenda
kuondoka kwako kw_ngu
mungu akaleta mema
nimekubali mimi, j_po ni maumivu ila
nimekubali mimi, j_po hutoki kwa akili yangu unaizunguka
nimekubali mimi, nimekubaliana na wewe eeh
nimekubali mimi, nimekubaliana na weee
كلمات أغنية عشوائية
- gleason - double f كلمات أغنية
- hot sizzle - timeline (cross your mind) كلمات أغنية
- skyflowers music - cherry blossom كلمات أغنية
- anti-pizzaboy - virtual nightmare كلمات أغنية
- 3.56 am - животный мир (animal world) كلمات أغنية
- the weavers - mi caballo كلمات أغنية
- zekkie - off the map كلمات أغنية
- sinneyy - like me كلمات أغنية
- lil misery - scream my name! كلمات أغنية
- the bevis frond - here for the other one كلمات أغنية