ibraah - hayakuhusu كلمات الأغنية
[paroles de hayakuhusu”]
wewe, aah aah ah
haukutaka kulea, wakati unalelewa
lazima uvunjie watu wazima heshima
punguza mazea unajifanya una_care
wakati umemtelekeza fahima
achana na walokutangulia
wakati kesho yako hujui itakw_ngukia
unaweza wasafi ukatimuliwa
na konde gang ukaja kusign_iwa
unashindana na mwanajeshi
ambaye vita aliianza baba yako (na hawezi)
msalimie kipa la ndezi
mwambie hata akikesha kwa sango (hatuhami mbezi)
nyimbo kaimbiwa kajala
karauka na kupwita pwita
acha papara aah wee
naskia unachimba mikwara
hauna chochote wewe buma chakula ah wewe
mapenzi ya konde na kajala
yanakuhusu nini kaka wee (hayakuhusu)
hata wakiongea video call
na paula lakini si mwanae (hayakuhusu)
we njoo ukomae na muziki (hayakuhusu)
ona kina chinga tunahit (hayakuhusu)
ah tumeanza jana hatushikiki (hayakuhusu)
umeona sound from africa haisikiki, imebuma wee…
mambo ya kuhonga waandishi wa habari
nyi mmezoea tunawajua
hata youtube zеtu mnapochokonoa
si tunawajua, tunawajua
kama vipaji mnavyo, sa wivu wa nini?
tufanye kazi na tusonge mbelе
kama vipaji mnavyo, na mnajiamini
ya nini sasa kupiga kelele
eeh akina lokole, si wanawapost
sababu ndio machawa wao, ndio machawa wao
kila siku anawapromote
leo asikose ladha, ooh ladha ooh
ah chondelei mrudie fahima ukamtunze mwanao
yasiwe ya mzee abdul na nasibu
k_mbuka kujinyima usimsahau mwanao
baadae akutunze usije pata aibu
mapenzi ya konde na kajala
yanakuhusu nini kaka wee (hayakuhusu)
hata wakiongea video call
na paula lakini si mwanae (hayakuhusu)
we njoo ukomae na muziki (hayakuhusu)
ona kina chinga tunahit (hayakuhusu)
ah tumeanza jana hatushikiki (hayakuhusu)
umeona sound from africa haisikiki, imebuma wee
كلمات أغنية عشوائية
- washed out - lately كلمات الأغنية
- matt redman - lead us up the mountain كلمات الأغنية
- wu - tang clan - the business (interlude) كلمات الأغنية
- wu - tang clan - live through death (interlude) كلمات الأغنية
- petra sihombing - sinar mentari pagi كلمات الأغنية
- lecrae - higher كلمات الأغنية
- dimas beck - kebohongan yang hebat كلمات الأغنية
- maia estianty - rindu kamu كلمات الأغنية
- dimas beck - dulu kekasih kini sahabat كلمات الأغنية
- maia estianty - karena dia كلمات الأغنية