kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ibraah - asante كلمات أغنية

Loading...

[verse 1]
k_mbe kucha najikongoja
yani kama naanza moja
nikitazama majumba, magari
sina hata bodaboda
anaetoa, mungu yangu nangoja
na najitetea kwa hoja, napambana
maana leo bora jana, afadhali
dunia imejaa vioja, yeeeh
kama si wewe mungu, nimshukuru nani?

[bridge]
maana wapo wanaotamani nisingeiona leo
nashukuru nipo
mungu baba, tupo duniani
wengine tunaishi nao wafuasi wa shetani
wanatamani hata w_ngepata chako, cheo
watupelekee simbo, heee

[pre chorus]
sishindani nao, napiga majungu
niwe na amani au sina furaha, anaejua ni wewe mungu, eeeh
sina tamaa na ninachojua sio langu fungu
ninachojali: amani, furaha
na mimi sio mtaka cha uvungu
[chorus]
asante kwa kunipa hata pumzi tu
asante, asante mungu
j_po maisha yangu sio yale ya juu
asante, asante baba
mi sina budi kukushukuru
asante, asante mungu
j_po maisha yangu sio yale ya juu
asante, asante baba (baba)

[verse 2]
nakataza moyo kwa kukata tamaa
najikokota, naanguka, tena najiokota, eh eh
nakataza moyo na kujirahisi tamaa
kutamani ambavyo sijui walipambania, managapi vilikotoka
napiga goti kwa mungu w_ngu (mungu w_ngu)
ombi: nisije aga dunia bila kupata nilichokusudia
umri unakwenda na nina familia inayoniangalia
mungu w_ngu
imani, maombi yatatimia
maana penye nia pana njia
na wewe ndio wakunitimizia, mungu baba
wewe ndio msaada (aaah)

[pre chorus]
si shindani na wanaonipiga majungu
niwe na amani au sina furaha, anaejua ni wewe mungu
sina tamaa na ninachojua sio langu fungu
ninachojali: amani, furaha
na mimi sio mtaka cha uvungu
[chorus]
asante kwa kunipa hata pumzi tu
asante, asante mungu
j_po maisha yangu sio ya juu
sina budi kukushukuru
asante, asante mungu
j_po maisha yangu sio ya juu
asante, asante baba
mi sina budi kukushukuru
asante, asante mungu
j_po maisha yangu sio ya juu
asante, asante baba
oya baba, baba, babaa

[outro]
asante babaaa
asante mungu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...