
huzuni▽ - chorea :( كلمات أغنية
[verse 1]
kila saa tukigombana
mabeste wako nawa-diss ee ee
ndio kwa maana wamesh-geuka bbc
stori zangu kutoka runda mpaka eastleigh
washazisema
na beshte yako ka rooho ni kama amemeza mp3
nikipita ananicheki kama dvd
wako rada hakuna stori haikufikii
(ch0r-a)
kama mimi ni series
jua sho’ next season haitatoka
ju system imechoka
mi nadai kuondoka
nyumba yetu ya ghorofa
imekwishabomoka
we unadoze kwa bed
mimi nalala kwa sofa
hii story sitaweza ju mi bado mrembo
naogopaga stress na sipendi maneno
leo utajua mapenzi sio mchezo
siri ya watu wawili
between wewe na mimi
[verse 2]
sitaki story s’taki sorry
my only intention
is to leave this house with only one direction
far away from you
and your petty little crew
if gossip was a career
you would get a pension
so tell your little friends to stay out of my mentions
let me make it clear for your comprehension
it’s over
me and you are through
tell your whatsapp group
that they should find something better to do
ay
كلمات أغنية عشوائية
- amery rey tuesta - the universe كلمات أغنية
- brian mcfadden - irish son - short version كلمات أغنية
- suprême ntm - la fièvre كلمات أغنية
- mădălina manole - o floare pentru mai târziu كلمات أغنية
- reza ramyar & sherym - bala paein كلمات أغنية
- sect (us) - cirrhosis of youth كلمات أغنية
- tito torbellino - no te acabes finikera كلمات أغنية
- мак сима мгла (mak sima mgla) - киссло (sour) كلمات أغنية
- wordup! battles - kard vs jeune chilly chill كلمات أغنية
- demi louise - ruins كلمات أغنية