kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

hoyo-mix - natlan كلمات أغنية

Loading...

intro
shambulia! beba silaha
pigana mpaka mwishowe
kwa nchi yetu tutaunguza damu yoyote
rudi kwa pambaja ya dunia
chorus
hadithi yaendelea (kama moto)
heshima warithi vizazi (waka daima)
ushujaa waangaza mbingu na ardhi
mara tena ashinda natlan
milele tuw_ngoje, na tutawaimbia
(rudini) ndugu, (rudini) mashujaa
mara ya tena mw_ngani
verse
ati kweli mwahofuni kifo? (hapana)
ushujaa wenu ni imara (bila shaka)
(k_mbukeni majina ya mashujaa)
(andameni uwanjani)
verse
kwa jamaa (zuri, safi) nchi (sawa) na taifa
kwa (vuma) matumaini (raha) mbeleni (nguvu) malengo
(rudini tunaw_ngojeni)
bridge
nyimbo kelele sana
sikiliza zitakuongoza nyumbani
chorus
hadithi yaendelea (ahh, ahh)
heshima warithi vizazi
ushujaa waangaza mbingu na ardhi
mara tena ashinda natlan
milele tuw_ngoje, na tutawaimbia
rudini (ndugu) rudini (mashujaa)
mara ya tena mw_ngani
outro
maisha marefu ni sasa

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...