hotsea - rapper-pology كلمات الأغنية
[intro]
(niko zone)
yaba yaba
(yabadaba doo)
yaba yaba
(yabadaba doo)
yaba yaba
(yabadaba doo x2)
hotsea!
[verse 1]
yabadaba doo kama flinstone
hullabaloo ndio sibongangi
achia baboon
wengi huenda salon kusema saloon
huwezi juwa labda vichwa zao baloon
na…
kama si ku-fork tunaweza spoon
na kufika kwa moon ma ni very soon
na…
tukifika kwa room maroon wacha cartoon ma
shika broom anza kubloom
na…
kati ya june, july
nipate across the line
nimedelight in finding madame ka nine
moja wa kunidai
nane wakujidai nao
nikifika kwetu, kw-ngu sinai
why lie kuna vile niko fine
nikishika mic (uugh)
a million rhymes
hunitoka so no apologies
kama rap ni ology niite rapper-pologist (listen)
rapper-pology, genealogy
yangu ukichunguza, utagundua
sinanga economy
na maneno zangu
unataka nitumie is ama nitumie ish
eish miss please miss
usijaribu kudismiss hii sh-t
nimeanza saa hii hii ni pure bliss
ndio maana nitabonga polepole uelewe nacho maanisha (skiza)
nikisema wee ni chizi toka tene
unabonga bila sababu kwani wee ni celeb
sijakusho vile wee huw-nga kama malenge
lakini dame yako mtamu kama maembe
[chorus]
oh my sijasema niko fly
nime-smoke kiasi abda useme niko high
oh my nikisema wee ni sly
chunguza kiasi ka tabia yako fine x2
[verse2]
hii ni m-ssacre ya fake mcs
toka cbd (nai) hadi nyc
hii nikusema najiamaini
niko down to earth na pia kamili
(gazaaa!)
shika kalamu hii ni abc
rap 101 niko na phd
tatu ni za kenya, tatu ni oversees
moja ya kuflow, moja ya kuwashow hata
oh my
hata na piano pekee naweza angusha flow ya mine
oh my
aye jaribu kuniamini
aye…
[chorus]
oh my sijasema niko fly
nime-smoke kiasi abda useme niko high
oh my nikisema wee ni sly
chunguza kiasi ka tabia yako fine x2
[outro]
aa ha
sa hii kuna vile ninafeel kiyabadaba doo kiyabadaba doo doo
doo doo yabadaba yabadaba doo doo!
كلمات أغنية عشوائية
- nocera - i want u now كلمات الأغنية
- omen noise - espíritu كلمات الأغنية
- lud foe - composure كلمات الأغنية
- padla bear outfit - utka-chelovek كلمات الأغنية
- timor ysf - puto g كلمات الأغنية
- the mars volta - whisper to your flinch كلمات الأغنية
- beli remour - aves كلمات الأغنية
- age of the bear - going with the flow كلمات الأغنية
- bonez mc - mwt2* كلمات الأغنية
- jaysirtuxedobird - hell كلمات الأغنية