
harmonize - x كلمات أغنية
[verse 1]
nani kasema x w_ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w_ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
nikimwona _n_lewa, namuelewa anajiona kachelewa, age go
na bado haj_pewa
viuno alivyopewa, anajiona kachelewa, age go
ohhh… uuhhh… ohhh!
[chorus]
nani kasema x w_ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w_ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
never!
[bridge]
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
[verse 2]
(mh) ibiza, miami, mbali haj_pelekwa hata zanzibari
hapo kizimkazi aka enjoy low budget dubai hatoboi
anasikitisha x, kama embe la mti wa porini
anajipitisha x, amekosa wa k_muweka mjini
nikimwona _n_lewa, namuelewa anajiona kachelewa, age go
na bado haj_pewa
viuno alivyopеwa, anajiona kachelewa, age go
[chorus]
nani kasеma x w_ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w_ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
never!
[bridge]
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
[outro]
aaahhh… bomboclaat!
it’s konde boy, call me number one!
bakhresa
ahhhill
konde music worldwide!
eh! sik_mpenda tu, nilimtukuza
nikala bata bila k_mchunguza (babe)
mambo madogo akayakuza
eti kisa upendo akaniburuza
كلمات أغنية عشوائية
- gwalaboy phlyy - no budget كلمات أغنية
- d4rk rekords - fractured 01 كلمات أغنية
- kli nt ii - know better كلمات أغنية
- řezník - kremační pec (saphari remix) كلمات أغنية
- radiohead - 'no tomorrow' كلمات أغنية
- да ст (da st) - trapstar كلمات أغنية
- og boo dirty - drill night كلمات أغنية
- dtay59 - ar’s 233's كلمات أغنية
- mr.kitty - scars (acapella) كلمات أغنية
- steve bell - even so lord jesus come (symphony sessions) كلمات أغنية