harmonize - vibaya lyrics
b boy, mm
oh_wah, ah, oh_wah
oh_wah, ah, oh_wah
oh_woah_woah_oh
alisema mapenzi vita
mi na yeye tuungane kuwateketeza maadui, eh, maadui
badala ya miezi kupita, aah
vikombe lazima vigongane
na sio kwamba hayajui, eh, hayajui
pigo za kusema vya ndani mi sinaga hizo
ama k_mtafuta mchawi ni nani ni kuongeza tatizo
tulia hapa tutakuwa wa ndani hadi paradiso
na tukatangaza kweupe mambo hadharani
na tattoo ndo hizo, oh_oh_oh_oh_oh
sitaki kuamini kwamba
lile kapu la mabaya yangu
halina hata machache mema, oh, mema
nitakuwa mshamba
nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu
ili nionekane mwema
j_po mapenzi yanaumiza
i wish tusisemane (vibaya) oh_le_le_le (vibaya)
ili kesho tusizikane (vibaya) oh_no_no (vibaya)
usiwasikilize wapambe (vibaya)
wanachotaka maneno (vibaya) ili kesho watuchambe (vibaya) oh_oh_oh_oh (vibaya)
oh_wah, ah, oh_wah
oh_wah, ah, oh_wah
oh_woah_woah_oh, mm_mm
nitunzie siri zangu
nami nitunze zako za miaka rudi nenda
kuna leo na kesho, mm_mm_mm
hata maadui zangu walikuwaga maadui zako
hawawezi kukupenda
wanakuvuta uwe kichekesho, mm_mm
maana hata ukisambaza
picha zangu za aibu ni sawa
hata hunikomoi
na hata utupu wako ukiutandaza
kwa watu w_ngu wa karibu sio dawa, hujengi hubomoi, eh_eh_eh_eh_eh
mama kuna kamchezo
mtunze mtoto wako
na watu wenye majungu, majungu
nilikubali kuviacha vya dezo
sababu ya mapenzi yako
nikaachana na mzungu, mzungu
maneno yao utadhani wanakutetea
k_mbe tudhalilishane wanachongojea
usiwape faida wambea
na ni kama kawaida nakuombea
sitaki kuamini kwamba
lile kapu la mabaya yangu
halina hata machache mema, oh, mema
nitakuwa mshamba
nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu
ili nionekane mwema
j_po mapenzi yanaumiza
i wish tusisemane (vibaya) oh_le_le_le (vibaya)
ili kesho tusizikane (vibaya) oh_no_no (vibaya)
usiwasikilize wapambe (vibaya)
wanachotaka maneno (vibaya) ili kesho watuchambe (vibaya) oh_oh_oh_oh (vibaya)
oh_wah, ah, oh_wah
oh_wah, ah, oh_wah
oh_woah_woah_oh
oh_oh_oh_oh
konde music worldwide
b boy, thank you for the sound
sound, sound, sound
كلمات أغنية عشوائية
- poxy (arg) - tonny lyrics
- $tanlee (fra) - 4matic lyrics
- pitch after dark - torn lyrics
- ric wilson - fight like ida b & marsha p lyrics
- tend1e - let's leave lyrics
- $tanlee (fra) - phone call lyrics
- alphaville (banda española) - de máscaras y enigmas lyrics
- giovanni zarrella - nostalgia italiana (gold-edition) lyrics
- la torture des ténèbres - lysol, scrub away your sanity lyrics
- cat lira - superstar lyrics