harmonize - utanikumbuka كلمات الأغنية
natamani kuimba pengine ukasikia
maneno yangu ya mwisho
ila sauti ndo inagoma yan kama inakwaruza
ukinitazama macho nimevimba
nimekesha nalia
na sijui lini mwisho mwili wa joto na homa
yani mpka naunguza
mapenzi hayana dhiaki
mwenzko nishawaza nifaraki
ama niende kotini nikash_taki
kwamba unadhurumu furaha yangu
mdomoni unamaji we samaki
asa mbona ata kusema hutaki
ama ndo nataka sitaki
ina maana huzioni jitihada zangu
pengine donda nilokupa limefuta upendo
unajaribi kujilazimisha
mengine unafanya kuniridhisha
mwilii umekonda umebaki mifupa
kulilia upendo basi moyo rudisha
kama umenisamehe na yameisha
kinyonge najiuliza bila majibu
wapi ninapoharibu
kina nachojaribu hakikupendezi
utanik_mbuka mpenzi uta
utanik_mbuka mpenzi utaa
utanik_mbuka mpenzi utaa
mana wapo watakao kukosea
na wasikili kosa (utanik_mbuka mpenzi uta)
umri wetu tunawaza kukuchezea hakuna wakukukosa eeh
……..
inaboa mapenzi yakishaisha
licha yakujitoa mwenzangu k_mridhisha
eti mara yupo busy yupo busy
alipo hataki nimuulize
anajua lazima iniumize
imeandikwa samehe na husilipize
wenda ata msamehe ulonipa ni kazi bure
kama umeshindwa nifanya nijione kama yule
wako wa zamani
i swear to ma body husimuamin rafiki anaekulipia kodi
pengine anafurah we k_mpigia hodi
hawezi support kukuona airport kila siku
najiuliza bila majibu wapi napoaribu
kila nacho jaribu hakikupendezi
utanik_mbuka mpenzi uta
utanik_mbuka mpenzi utaa
utanik_mbuka mpenzi utaa
mana wapo watakao kukosea
na wasikili kosa (utanik_mbuka mpenzi uta)
umri wetu tunawaza kukuchezea hakuna wakukuposa eeh
كلمات أغنية عشوائية
- dee hoo - feinstaubplaketten كلمات الأغنية
- majid jordan - superstar كلمات الأغنية
- hart, thelastprophet - change the world كلمات الأغنية
- waldo - purple heart كلمات الأغنية
- ca$his - picture me كلمات الأغنية
- gregory porter - 1960 what? - peas mix كلمات الأغنية
- jafitow - llorando pt.1 كلمات الأغنية
- лсп (lsp) - звезда (star) (remix) كلمات الأغنية
- mika - ready to call this love كلمات الأغنية
- inxs - disappear - wembley 1991 كلمات الأغنية