
harmonize - ujana كلمات أغنية
[intro]
bomboclaaa_
(kimambo)
yow, yow
[chorus]
hivi ujana upoje
(ujana upoje)
ujana upoje
(ujana upoje)
hivi ujana upoje…
eeh
(ujana upoje)
ah, ujana upoje
(ujana upoje)
[verse 1]
kuna muda naweka malengo
nikizipata nimiliki mjengo
niwekeze, niwe na kitengo
bosi, nikifa’ niache pengo
[pre_chorus]
ila pisi hizo, pisi hizo
nikiziona moyo unadunda tena
(pisi hizo, pisi hizo, nikiziona moyo unadunda tena)
pombe hizo, pombe hizo
nikiziona moyo unadunda tena
(pombe hizo, pombe hizo, nikiziona moyo unadunda tena
jamani moshi huo, moshi huo
nikiuona moyo unadunda tena
(moshi huo, moshi huo, nikiuona moyo unadunda tena
weh, mikeka hiyo, mikeka hiyo
nikiiwaza moyo unadunda tena
(mikeka hiyo, mikeka hiyo, nikiiwaza moyo unadunda tena
[chorus]
hivi ujana upoje
(ujana upoje)
ujana upoje
(ujana upoje)
hivi ujana upoje…
eeh
(ujana upoje)
ah, ujana upoje
(ujana upoje)
[verse 2]
kitoto cha 2000
huko nyuma kilivyo nawiri
we huogopi?
huogopi?
anataka twende mara mbili
pekupeku bila kandambili
we huogopi?
huogopi?
[verse 3]
how can i keep my money?
wenzangu wapo batani
ujana kitu gani?
mbona kila kitu natamani?
[pre_chorus]
pisi hizo, pisi hizo
nikiziona moyo unadunda tena
(pisi hizo, pisi hizo, nikiziona moyo unadunda tena)
pombe hizo, pombe hizo
nikiziona moyo unadunda tena
(pombe hizo, pombe hizo, nikiziona moyo unadunda tena
jamani moshi huo, moshi huo
nikiuona moyo unadunda tena
(moshi huo, moshi huo, nikiuona moyo unadunda tena
weh, mikeka hiyo, mikeka hiyo
nikiiwaza moyo unadunda tena
(mikeka hiyo, mikeka hiyo, nikiiwaza moyo unadunda tena
[chorus]
hivi ujana upoje
(ujana upoje)
ujana upoje
(ujana upoje)
hivi ujana upoje…
eeh
(ujana upoje)
ah, ujana upoje
(ujana upoje)
[verse 4]
vijana kuvawa nowe waiyo (waiyo!)
eh
(dobi, dobi)
vijana kuvawa nowe waiyo (waiyo, dobi, dobi)
ayo no mwana kuwanowewaiyo (waiyo, dobi, dobi)
ayo no mwana kuwanowewaiyo (waiyo, dobi, dobi)
[outro]
jamani moshi huo, moshi huo
nikiuona moyo unadunda tena
(moshi huo, moshi huo, nikiuona moyo unadunda tena
bombo claat
…
the mix k!ller
كلمات أغنية عشوائية
- blood red shoes - a little love كلمات أغنية
- schoolboy q - blacks n mexicans كلمات أغنية
- kee4 - psa (prod by. mykelonthebeat) كلمات أغنية
- king von - glizzys (traffic)* كلمات أغنية
- t1 wema1 - spencer madziya (bonus track) كلمات أغنية
- ashwarya - psycho hole كلمات أغنية
- whitehall - tuesday كلمات أغنية
- the cry [us] - alone كلمات أغنية
- lowkeykeenan - whatever كلمات أغنية
- nez - my love كلمات أغنية