harmonize - twende wote كلمات الأغنية
jifanye unaenda mwenyewe wahuni wakutie roba
oya twende wote
naskia kwenye mashine dj seven ni wa bukoba
oya twende wote
na dem akitaka bia we changanye na kiroba
oya twende wote
akitoka bila kuliwa kesho atakuona zoba
oya twende wote
oya twende wote (oya twende wote)
yule mwenye kibunda (oya twende wote)
uku kuna chupi zote nai, huddah hadi tunda
(oya twende wote)
twende wo wo wo wo (oya twende wote)
wo wo wo wo (oya twende wote)
wo wo wo wo (oya twende wote)
wo wo wo wo (oya twende wote)
oya twende wote (oya twende wote)
oya twende wote (oya twende wote)
oya twende wote (oya twende wote)
oya twende wo wo wo wote
oya twende wote (oya twende wote)
oya twende wote (oya twende wote)
oya twende wote (oya twende wote)
oya twende wo wo wo wote
kuna vibe kinoma baby ziko nyingi oya twende wote
(oya twende wote)
misosi ya kutosha sufuria nyingi oya twende wote
(oya twende wote)
mitungi ni shozi kama tu konde boy oya twende wote
(oya twende wote)
yaani full full burudani kama tupo peponi twende wote
(oya twende wote)
kuna pisi ni kali zinaenda buza kwa mpalange
(oya twende wote)
urojo rojo rojo mafuta futa na makange
(oya twende wote)
kwani tuko w_ngapi tuiteni uber tujichange
(oya twende wote)
tujiboost na maji tukifika kule wasitupange
(oya twende wote) oya twende wote
oya twende wote, oya twende wote
oya twende twende twende wote
umeninywea bia muda wa kusepa ndo umefika
(oya twende wote)
unaondoka na wenzako bia zangu utatapika
eti mbona mbali kwetu usafiri ni uhakika
(oya twende wote)
nakaa uswahili lakini si ndo kunapitika
(oya twende wote)
twende wo wo wo
oya twende wote (wo wo wo)
oya twende wote (wo wo wo)
oya twende wote (wo wo wo)
oya twende (oya twende wote)
oya twende wote (wo wo wo)
oya twende wote (wo wo wo)
oya twende wote (wo wo wo)
oya twende (oya twende wote)
kama kudanga, kunabamba (oya twende wote)
twende sambasamba (oya twende wote)
madem wenye misamba (oya twende wote)
matipo tipo (oya twende wote)
mimbao mimbao (oya twende wote)
biriani na pilau (oya twende wote)
كلمات أغنية عشوائية
- killfranklyn - sunday's best كلمات الأغنية
- cheb rubën - cara de poker كلمات الأغنية
- twst - upgrade كلمات الأغنية
- bolis pupul - completely half كلمات الأغنية
- lone thunder - when the light dies كلمات الأغنية
- ella luna - all silk & satin كلمات الأغنية
- house of harm - soaked in pastel كلمات الأغنية
- lenny white - universal love كلمات الأغنية
- elaine martins - você não imagina (part. letícia vitória) كلمات الأغنية
- pintu merah - senioritas كلمات الأغنية