kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

harmonize - teacher كلمات الأغنية

Loading...

yah yah
ah ha ha ha ha, jeshi
(imma in the beat)

wakati wanahanya kugombea kiti
wanadanganyana na viewers wa ku_cheat
mie jicho lipo nyanya nilishakula kijiti
na magoma yakipigwa huko club mtiti

ninachojua masela huko mtaani kuna dhiki
ndo maana sitingishi hela, wala ninavyovimiliki
mafumbo andika kwa dela, watu wanataka muziki
mara k_mi mwanangu wa sindelela, yeye hapendagi makiki oh na, na_na

huu muziki nauweza
nauweza kuuimba na kucheza
ona unavyonipendeza
hadi majirani wameanza kunigeza (uhg)

huu muziki nauweza
nauweza kuuimba na kucheza
ona unavyonipendeza
hadi majirani wameanza kunigeza

i′m your teacher, teacher konde
teacher, teacher konde
i’m your teacher, teacher konde
teacher, teacher konde

huu muziki nauweza
nauweza kuuimba na kucheza
ona unavyonipendeza
hadi majirani wameanza kunigeza (uhg)

huu muziki nauweza
nauweza kuuimba na kucheza
ona unavyonipendeza
hadi majirani wameanza kunigeza

ninachojua masela huko mtaani kuna dhiki
ndo maana sitingishi hela wala ninavyovimiliki
mafumbo andika kwa dela watu wanataka muziki
mara k_mi mwanangu wa sindelela yeye hapendagi makiki oh na, na_na

huu muziki nauweza
nauweza kuuimba na kucheza
ona unavyonipendeza
hadi majirani wameanza kunigeza (uhg)

huu muziki nauweza
nauweza kuuimba na kucheza
ona unavyonipendeza
hadi majirani wameanza kunigeza

i′m your teacher, teacher konde
teacher, teacher konde
i’m your teacher, teacher konde
teacher, teacher konde

naika kupoteka, karipambilile, eh
mwaka nakutayonja, nakutayonji
navanta na mwi makonde
vanemba, newala
hadi ku_tandahimba
naika kupoteka, karipambilile

teacher, teacher konde
teacher, teacher konde
i’m your teacher, teacher konde
teacher, teacher konde

safi, safi sana
ah, teacher konde (teacher konde)
ah, teacher konde (teacher konde)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...