harmonize - sherehe كلمات الأغنية
(instrumentals)
[intro]
konde boy, call me number one
ba_re_ssah
(s2kizzy, baby)
oh, oh, oh
ah, uu_uu_uuh…
aah_ah, ah, ah…
[verse 1]
ukiwa mvivu
ni rahisi sana kuwa na wivu
tulio jituma ‘tuka achieve
usitushangae tukila mbivu
uliwaza mapenzi, tukawaza pesa
mh’
ona yanavyo kutesa
sie kwetu ni sherehe
oya leo ‘sherehe
[pre_chorus]
we don’t really mind hata tukikesha
liwake hata ikinyesha
leo siku ya sherehe
oya leo ‘sherehe
[chorus]
wanangu huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
leo huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
ola_la_la_la
la_la
la_la_la_la_la
la_la
la_la
la_la_la_la
mmm’
[verse 2]
kuhonga kubaya ukiwa huna
ila tulio jipata kwetu ‘sunnah
we jigambe una mkuna, ah
huku ‘walio na meno wanatafuna (bomboclaa_)
mwenye kisu kikali kala nyama leo
kidari kaachwa na jimama leo
kwetu kuna sherehe
oya leo sherehe, oh
mpaka kesho, tumeanza leo
wasio toka, wametoka leo
wameifata sherehe
oya, kwetu kuna sherehe
[hook]
uliwaza mapenzi, tukawaza pesa
mh’
ona yanavyo kutesa
sie kwetu ni sherehe
oya leo ‘sherehe
[pre_chorus]
we don’t really mind hata tukikesha
liwake hata ikinyesha
leo siku ya sherehe
oya leo ‘sherehe
[chorus]
wanangu huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
leo huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
[outro]
ola_la_la_la
la_la
la_la_la_la_la
la_la
la_la_la_la
la_la
la_la
la_la_la_la
كلمات أغنية عشوائية
- antew - туман (fog) كلمات الأغنية
- nebezao - белый мотылёк (white moth) كلمات الأغنية
- the black ace - letters ii كلمات الأغنية
- heather grey (nj) - clever كلمات الأغنية
- emjaay - ocean كلمات الأغنية
- wilson e soraia - seu amor ainda é tudo كلمات الأغنية
- djordan gauthier - adolescente كلمات الأغنية
- dunove - confiança كلمات الأغنية
- masi - eres mu' raro, niño كلمات الأغنية
- бровник (brovnik) - бадибэг (bodybag) كلمات الأغنية