kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

harmonize - sandakalawe كلمات الأغنية

Loading...

nyau
this one is a black line
yaw yaw

zakochali, yebooo

konde boy, call me number one
so much money in the bank, man
all dem girls dey call me honey
only your love can turn me to a mad man

leo nakuto… totoo, nakutoa kwenu uje kw_ngu
nina hamu yakuto… totoo, kutoa mahali uwe w_ngu (nyau)
basi sema unakuja saa ngapi ama kwenu umeshakatazwa
said kichwa nitamueka wapi na mkongo nimeshampakaza
iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza
kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza

wahuni sandakalawe (amina)
ah mwenye kupata (apate)
je mwenye kukosa (akose)
eh kuku gani? (mweupee)
ah sandakalawe (amina)
na mwenye kupata (apate)
je mwenye kukosa (akose)
ah kuku gani?

leo nataka kukuto_, to_ kutoa out
mimi na hamu ya kuto_, to_ kutoka na wewe
jiandae leo na kuto_, to_ kutoa out
mimi na hamu ya kuto_, to_ kutoka na wewe, yebooo

ya, my beautiful baby from juba
i wanna take you to dubai
yes i’m ready to do that, do that
hasa twende popolipo lipopoo
popolipo lipopoo
popolipo lipopoo
popolipo lipopoo
iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza
kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza

wahuni sandakalawe (amina)
ah mwenye kupata (apate)
je mwenye kukosa (akose)
eh kuku gani? (mweupee)
ah sandakalawe (amina)
na mwenye kupata (apate)
je mwenye kukosa (akose)
ah kuku gani?

leo nataka kukuto_, to_ kutoa out
mimi na hamu ya kuto_, to_ kutoka na wewe
jiandae leo na kuto_, to_ kutoa out
mimi na hamu ya kuto_, to_ kutoka na wewe, yebooo

(themix)

(k!ller)

leo nataka kukuto_, to_ kutoa out
mimi na hamu ya kuto_, to_ kutoka na wewe
jiandae leo na kuto_, to_ kutoa out
mimi na hamu ya kuto_, to_ kutoka na wewe, yebooo

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...