kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

harmonize - mama anajenga كلمات الأغنية

Loading...

tanzania ya samia
inajengwa na watanzania
wenye macho
wanashuhudia
hatua tunazofikia
kila siku kila wiki kila mwezi
sina budi kuisifu
wizara yetu ya ujenzi

pongezi kwa tanroads
mnachapa kazi kila leo
pesa za walipa kodi
ndio chachu ya maendeleo
asanteni temesa
mnachapa kazi bila kupepesa
vivuko vishawahi kututesa
mama kawekeza
nguvu na pesa
tanzania inajengwa
tanzania kwanzaa
tanzania inajengeka
tanzania kwanzaa
jamani mama anajenga
tanzania kwanzaa
barabara zinajengeka
tanzania
hongereni tba
mnachapa kazi
bila kurudi nyuma
tunayaona
majumba ya wafanyakazi
na watumishi wa umma
kwenye jiji la dar
arusha na dodoma
ooh ni furaha
iliyoje kuyaona
pongezi kwa tanroads
mnachapa kazi kila leo
pesa za walipa kodi
ndio chachu ya maendeleo
asanteni temesa
mnachapa kazi bila kupepesa
vivuko vishawahi kututesa
mama kawekeza
nguvu na pеsa
tanzania inajengwa
tanzania kwanzaa
tanzania inajengeka
tanzania kwanzaa
jamani mama anajеnga
tanzania kwanzaa
barabara zinajengeka
tanzania
tanzania

kondeboy call me number one
mtoto wa samia
wananiita konde samia suluhu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...