kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

harmonize - makawashe كلمات الأغنية

Loading...

imani nafsi inaniambia
haukuwa fungu langu
na sidhani kama nilikosea
kuukabidhi moyo w_ngu

ulinidanganya mapenzi ni zuri basi
panda twende safari
bila kujua la kwako ni mwendo kasi
ghafla ukanipa ajali

upweke umetawala nafsi
mwenzako usiku silali
ninahesabu mabati
kisa wewe

sijutii moyo w_ngu
kupenda nisipopendwa
sirudii makosa yangu
ujinga wakati wakwenda

kinachoniuma roho yangu ooh
kuwapa neno wahenga
maana si kwa posti zangu
na kujinadi napendwa

nishapona, nishapona
nishapona ila mazoea
basi nenda umwambie
nishapona!
oooh mwambie
basi umwambie eeh
nishapona ila mazoea

heshima kunyenyekea
nilivyomnyenyekea
akaniona si chochote kwake
mazima akanipotezea
akanipotezea, alipomaliza shida zake zake

na bado siamini kweli ndo yule
alokuwa akisema, halali asiponiona
na kujilisha ya nini? yote ni bure
nikamwita chanda chema, alinidanganya

zile miziki za kunichombeza, zinaniuma roho
mara akinidekeza, elaji njoo
ungesema nilipoteleza, nikamwomba koo
si vyema amenitelekeza mb kisadooo

basi nenda umwambie, nishapona!
oooh mwambie
basi umwambie eeh
nishapona ila mazoea
basi nenda umwambie, nishapona!
oooh mwambie
basi umwambie eeh
nishapona ila mazoea

nenda kamwambie naja
nenda kamwambie naja
basi nenda kamwambie naja
nenda kamwambie naja

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...