
harmonize - magufuli كلمات أغنية
mmmmh
i wish ningemwona magufuli
nipige magoti
nimpongeze hadharani
yaani rais wa muungano wa jamhuri
mchapakazi hachoki
anaye pinga nani?
mmmh
ametuvusha vikwazo
wewe nami ona nchi anavyoijenga
flyover sa tunazo, daraja kigamboni
airport imesha jengwa
acha nikupongeze kwa air tanzania (ielewe)
zidi baba tuongeze airbus bombardier (ielewe)
standard gauge tuteleze kusafiri unasinzia (ielewe)
acheni tu niwaeleze magufuli papa nia (ielewe)
oooh dady
magufuli cheza nikuone (kw_ngwaru)
wasopenda wabane choo (kw_ngwaru)
magu muacheni (kw_ngwaru)
oooh daddy
asa chеza nikuone (kw_ngwaru)
jembe toka chato (kw_ngwaru)
magufuli ndo rais wa wanyongе (kw_ngwaru)
aga, mpole mtu wa dini
hajachoka tunashukuru
amesamehe mara sabini
papi kocha sa yuko huru
wa_tanzania tupewe nini?
vilokufa yeye kavifufua
karudisha nidhamu serekalini
ukileta njanja anatumbua eeh!
sekta ya madini
umeme maji kero zimepungua (asa wee)
elimu bure vijijini watoto shule wanabukua (asa wee)
ifikapo elfu mbili na ishirini kura yangu chukua (asa wee)
asa tufiche ya nini ‘magu’ uongozi anaujua (asa wee)
dar es salaam mwendo kasi vituo vya afya kila kata (ielewe)
machinga tunachapa kazi tena huru bila shaka (ielewe)
borigi utani ameongeza uchumi uweze panda (ielewe)
serekali dodoma inapendeza tanzania ya viwanda (ielewe)
oooh daddy
magufuli cheza nikuone (kw_ngwaru)
wasopenda wabane choo (kw_ngwaru)
magu muacheni (kw_ngwaru)
oooh daddy
asa cheza nikuone (kw_ngwaru)
jembe toka chato (kw_ngwaru)
magufuli ndo rais wa wanyonge (kw_ngwaru)
asa wote wa_tanzania
tusimame imara (imara imara)
yaani wote tanzania
imara tanzania tusonge mbele
john pombe magufuli
simama imara (imara imara)
yaani wote tusonge mbele
imara tanzania tusonge mbele
oooh mama samia suluhu
basi simama imara (imara imara)
kwa pamoja tusonge mbele
imara tanzania tusonge mbele
baba kassim majaliwa
simama imara (imara imara)
kwa pamoja tusonge mbele
imara tanzania tusonge mbele
wasafi records
كلمات أغنية عشوائية
- shyheim - little rascals كلمات أغنية
- shyheim - party 's going on كلمات أغنية
- shyheim - see what i see كلمات أغنية
- shyheim - shaolin style كلمات أغنية
- shyheim - shit iz real كلمات أغنية
- shyheim - still there كلمات أغنية
- shyheim - what makes the world go round كلمات أغنية
- shyheim - things happen كلمات أغنية
- shyheim - young godz كلمات أغنية
- sicko - 60 pound mall rat كلمات أغنية