kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

harmonize - leave me alone كلمات الأغنية

Loading...

i don’t need n0body
akinipenda mungu inatosha
yeah i don’t need n0body
i don’t need n0body yeah yeah
akinipenda mungu inatosha
i don’t need n0body
i don’t need n0body

tulio ishi kwa ndugu ndio tun_z_jua hustle
kula na kulala manyanyaso
fungasha urudi kijijini best naso
mi akinipenda mungu inatosha
mwengine atakusave kwenye shida
utamdhani rafiki wa faida
k_mbe moyoni ana kuchukulia barida
k_mbe moyoni ana kuchukulia barida
siku ukifanikiwa zinaanza shida
yes now am going to another level
sito tumia ndumba wala nguvu za devil

simuitaji mwijaku h, na baba levo
mi akinipenda mungu inatosha
yes mi napenda marafiki
wale wanao kuwepo wakati wa dhiki
sio wanao kuja deal zikitiki
sipendi unafiki akinipenda mungu
inatosha no no no

akinipenda mungu inatosha
yeah i don’t need n0body
i don’t need n0body yeah yeah
akinipenda mungu inatosha
i don’t need n0body
i don’t need n0body

eti kisa unani follow unanipangia cha kuposti
me siku follow shobo zako zinaku cost
we ni unfollow usiniletee mikosi
akinipenda mungu inatosha
ukiniona kutwa nipo ndnai sina tatizo
na majirani ila sitaki wanijue kiundani
akipenda mungu inatosha
yeah i swear to my dеad body
simuamini rafiki anae nilipia kodi
pengine anafurahi mi k_mpigia hodi
akinipеnda mungu inatosha
yes mi napenda marafiki
wale wanao kuwepo wakati wa dhiki

sio wanao kuja deal zikitiki
sipendi unafiki akinipenda mungu
inatosha no no no

akinipenda mungu inatosha
yeah i don’t need n0body
i don’t need n0body yeah yeah
akinipenda mungu inatosha
i don’t need n0body
i don’t need n0body
akinipenda mungu inatosha
i don’t need n0body
i don’t need n0body

akinipenda mungu inatosha
i don’t need no
i don’t need no
i don’t need n0body
akinipenda yeh
akinipenda mungu
i don’t need no no n0body

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...