harmonize - i miss you كلمات الأغنية
yao yao
yeyeh ye yeeeeh
only you on my mind
nahisi mwengine hakuna kwenye hii dunia
i don’t know what to do never mind
hata salam unauchunaa, vimessage nikikutumiaa
ingawa silijui kosa ila fanya unisamehee
umeni adhibu vya kutoshaa j_po imani nioneee
oh babyy
nikalala naotaaa
naota kama unaniita
ila nafsi inasitaaa ipo siku ntaitikaaa
ooh nikilala naota
naota kama unaniita
ila nafsi inasitaa ipo siku ntaitika my baby
i miss you
ukiona mtu mzima ma _n_lia ujue kuna jambo
i miss you
maji hayapandi mlima ma me kiwete siwez kwenda ng’ambo
nili sacrifice my love for you
uuu uuuuuuu
leo unaniona sifai na matusi juuu
uuu uuuuuuu
natamani urudi mama ila siwez kukuforce force
punguza makusudi drama hizo mbwembwe na vipost post
kutwa nashinda insta
n_z_tazama zako picha
usiombe bando likisha
me mpweke ila yote tisaa
ooooooh
nikilala naota, naota kama unanita
ila nasfi inasitaaa
ipo siku ntaitikaa
oooh nikilala naotaaa
naota kama unaniita ila nafsi inasita ipo siku ntaitika my baby
i miss you
ukiona mtu mzima _n_lia ma ujue kuna jambo
maji hayapandi mlima ma me kiwete siwezi kwenda nga’mbo
i miss you
nikilala naota naota kama unanitaa ila
nafsi inasita mpenzi ipo siku ntaitikaaa
كلمات أغنية عشوائية
- seraphim - b.t.b. كلمات الأغنية
- idontknowjeffery - back to cali كلمات الأغنية
- la habitación roja - líneas en el cielo كلمات الأغنية
- blaxk monarch - yaya freestyle كلمات الأغنية
- margaret becker - oh lord, you're beautiful كلمات الأغنية
- the leaving trains - heart كلمات الأغنية
- mary crowell - courting my muse كلمات الأغنية
- the secret machines - i want to know if it's still possible كلمات الأغنية
- skegss - stop كلمات الأغنية
- of colours - rats كلمات الأغنية