harmonize - follow me كلمات الأغنية
eeh haa
eeh haa
aii aiii
eeh haaa
ok sina pesa kama bilgate
nina pesa tu za kukufanya usinicheat
nitakupa utamu yaani mapenzi ya dhati
follow me
eeh we mtamu kama cake
uzuri wako ex w_ngu haufikii
nakuomba baby
please follow me
hmm
nimefunga break nimeweka nukta
kwenye barabara umeweka tuta
yaani we ndo beki bonge la ukuta baby…
unakula alichokisusa
ex
unakula nyama mpaka mifupa
ex
unataka nini mimi nitakupa baby
nitavunja n_z_ ubani
nachotaka uwe nami
baby follow me
nimefumba macho sioni
umeniweka moyoni
baby follow me
follow follow follow me
mwenzako hoi taabani
sitaki kukuacha please follow me
ayee ayee
kolo kolo kolo me
nakupenda wala sikutamani
usije kunikataa please follow mе
hivi watajuaje kama unananipenda
usiponifuta kila ninapokwenda
bila macho kuona ningеkupiga denda
follow me
siku tukiachana ni mungu amependa
ila si kwa maneno yawanakwenda
watatuona mbele tunakwenda
follow me
sa baby ntaanzaje kukuacha
wakati mi na wemapacha
wanakuja wanatuacha
follow me
honey honey
sina gari na nyumba
ila kinatutosha kichumba
nikifumba macho we fumba
follow me
oooh
mwenzako navunja n_z_ ubani
ninachotaka uwe nami
please follow me
ukweli w_ngu moyoni
wengine sioni
please follow me
follow me baby
follow follow follow me
mwenzako hoi taabani
sitaki kukuacha please follow me
follow me
kolo kolo kolo me
nakupenda wala sikutamani
usije kunikataa please
follow me
eeh
ukweli w_ngu moyoni wengine sioni
please follow me
follow me baby
كلمات أغنية عشوائية
- 松浦亜弥 (aya matsuura) - エコのワルツ (eco no waltz) كلمات الأغنية
- miguel fernández (esp) - vi, mia deliro كلمات الأغنية
- gjon's tears - pure كلمات الأغنية
- bomshot - fukugondo كلمات الأغنية
- blxckie - abdullah flow freestyle (redbull 64 bars) كلمات الأغنية
- clint warren - puppy dog eyes كلمات الأغنية
- andrea pearson-haas, crescenda - my everything كلمات الأغنية
- blvckmantis - baby cry كلمات الأغنية
- costi (fin) - magaluf كلمات الأغنية
- shaindel antelis - invisible كلمات الأغنية