harmonize - ayiola كلمات الأغنية
nilifundishwa na bibi kijijini jinsi ya kupenda
na mwanamke hapigwi
na ngumi ila upande wa kanga
tena mapenzi sio league
nikakubali kushindwa
mi sikufunzwa graji
tushindane risasi kwa panga
mbona niliku thamini
mengi nikakusevia
sitosema hadharani wengi wakayasikia
sio wakunipanda kichwani
huk-mbuki tuliko tokea
na kunishusha thamani
kipi nilicho kosea
ingawa kidogo nlichopata
nkajinyima uridhike
ila hukujali ukanikatili moyoooo!
majirani walinicheka ulipo ni force nipikee
aaaahh! sio siri ilinivunja moyoo
kisirani ugomvi bila chanzo
ni ukweli uko moyoni
sina budi nilivue pendo
ingawa kishingo upande
aiyoo aiyola eeeh!
sito force unipende
ooohkishingo upande
aiyoo aiyola eeeh!
basi bora uendee
sitosema mapenzi basi nimeumbwa na moyo
moyo wenye matamanio na unapenda pia
ila nitaijutia nafsi nilikufanya chaguo
aaah! chaguo la moyo k-mbe ulipita njiaa
nilivo wanyima ndugu
visiri nikakutunzia
usijee leta vurugu akili ukaitibuaa
najuta kujitia bubuu
sitaki vya kusikia
kisa pendo unisurubu
mengi nishafumbia
mbona niliku thamini
mengi nikakusevia
sitosema hadharani wengi wakayasikia
sio wakunipanda kichwani
huk-mbuki tuliko tokea
na kunishusha thamani
kipi nilicho kosea
kisirani ugomvi bila chanzo
ni ukweli uko moyoni
sina budi nilivue pendo
ingawa kishingo upande
aiyoo aiyola eeeh!
sito force unipende
oooh baki kishingo upande
aiyoo aiyola eeeh!
basi bora uendee
kishingo upande kishingo upande
aaaah
na maximize oooh am nice baibe, am nice baibe
كلمات أغنية عشوائية
- juliengaribaldi - hocus pocus’s “pascal” (2) كلمات الأغنية
- mic-pro - m.i.c-p.r.o كلمات الأغنية
- loonies - island (tropical edition) كلمات الأغنية
- mc smook - la vita è bella كلمات الأغنية
- wezza - fawda كلمات الأغنية
- love a - nachbarn ii كلمات الأغنية
- humble the poet - humble freestyle كلمات الأغنية
- tremz - sketty bums get wild كلمات الأغنية
- capicua - terapia de grupo كلمات الأغنية
- siouxsie and the banshees - starcrossed (demo) كلمات الأغنية