kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

happy c - sema كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
hey
oh no no no
they call me happy c
(toti on the beat)

[verse 1]
nak_mbuka one day
nilipigwa nikaumizwa na ndugu zako sababu yako
ukasema mi wako
sikua na say
nilikaa nikauguza majeraha yangu sababu yako
ukasema mi wako

[pre chorus]
ujue mi ni wako, shahidi ni ndugu zako
waambie marafiki zako, mi ni wako wa halali
ujue mi ni wako, shahidi ni ndugu zako we eh
mama eh

[chorus]
sema (baby sema)
we useme eeh [we useme]
jinsi ninavyokupenda ndivyo maa [unavyonipenda wewe]
sema (baby sema)
we useme eeh [we useme]
jinsi ninavyokupenda ndivyo maa [unavyonipenda wewe]
i’m in love

[verse 2]
nikudhihirishe wazi leo,kama unanipenda
ile siku tuloingojea, leo hii imetimia
waambie daddy na mummy naja
naja kukutwaa,nazo zawadi zao
vigelegele na shangwe[alelele],karibu kwetu nyumbani[mama lelele]
walee watoto w_nge, watoto w_ngu eeh

[pre chorus]
ujue mi ni wako, shahidi ni ndugu zako
waambie marafiki zako, mi ni wako wa halali
ujue mi ni wako, shahidi ni ndugu zako we eh
mama eh

[chorus]
sema (baby sema)
we useme eeh [we useme]
jinsi ninavyokupenda ndivyo maa [unavyonipenda wewe]
sema (baby sema)
we useme eeh [we useme]
jinsi ninavyokupenda ndivyo maa [unavyonipenda wewe]

i’m in love
i’m in love
i’m in love baby [yeah yeah]
i’m in love baby
[bridge]
ninayo furaha ya kuwa nawe
ya kuishi nawe oh my baby
ninayo furaha ya kuwa nawe
ya kuishi nawe oh my baby
oh my baby, oh oh oh
oh my baby
baby baby ooh aaah
they call me happy c
sultan 001 yeah yeah ooh

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...