kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

haitham kim - wawa كلمات الأغنية

Loading...

(wawawawaa wawawawaa)
(wawawawaa wawawawaa)

huwaga mapenzi yana utesa moyo wengi wanapagawa
endapo ukiamini unajua mapenzi utalivuka daraja
wengi wanasema eti yana dawa hivi nani aliye pendwa
ingawa na mimi ukaniona sawa ndio wale wale walio tendwa

hata na mimi nibaki hivihivi
(hivi hivi)
nibaki hivihivi nisiwe wa kujisonya nitaumia
(wawawawaa) nishushe nanga nibakie
(wawawawaa) yani ni bora nituliee
(wawawawaa) maumivu ya mapenzi nisivamie
(wawawawaa) nijivute vumbi nisijichafue

maumivu ya kidonda nikazi kuya himili (haayeee)
unaweza ukapona lakini ikawa bado ndani (haayeyeee)
natena ilivyo tabu mateso kuyakabili (haayeee)
ukose pa kupapasa moyo uwe tafarani (iyeee)

hata na mimi nibaki hivihivi
(hivi hivi)
nibaki hivihivi nisiwe wa kujisonya nitaumia

(wawawawaa) nishushe nanga nibakie
(wawawawaa) yani ni bora nituliee
(wawawawaa) maumivu ya mapenzi nisivamie
(wawawawaa) nijivute vumbi nisijichafue

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...