
h_art the band - linda moyo كلمات أغنية
[verse 1: nyota ndogo]
nasikia wanitafuta
kama wanipenda nakuomba njoo kwetu
na ile njia ninayopita
wanifatafata nakuomba njoo kwetu
mzee ali alinikataza kuhusu wewe
na dadangu aisha alinikanya kuhusu wewe
[chorus: nyota ndogo]
nalinda
heshima yangu, utu w-ngu
moyo w-ngu usiumie
nalinda
heshima yangu, utu w-ngu
moyo w-ngu usiumie
[verse 2: h_art the band]
nimeambiwa
umesikia sifa zangu mbaya
kuwa mimi kinara
kwenye karata ya wanadada
ukweli usemwe mama
uzuri wako umezidi wale wote nimeona
na usifunge moyo sana
kwani wewe mwenyewe ndio sababu kuu mimi kupona
nataka kukujulisha
wewe ndio utanibadilisha
tabia zangu nitasafisha
mipango yote tuweze kamilisha
mahari mi nitalipa
kunyunyuzie penzi bila kupima
naomba nyota yangu ufanye hima
usikazie moyo wako kupenda (penda)
[chorus: nyota ndogo]
nalinda
heshima yangu, utu w-ngu
moyo w-ngu usiumie
nalinda
heshima yangu, utu w-ngu
moyo w-ngu usiumie
[verse 3: h_art the band]
ati
love ni drug na i think umenipatia overdose
it’s too much
mi staki kufall in love but nimeumwa na love bug
i’m this close
late night chats kila usiku
nikikulenga asubuhi napata message ndefu
messenge ndefu ati kwani what did i do?
am i being too much?
ama i’m just overthinking niwache tu?
yaani love ni drug na we tu ndio foam kama top layer ya keg kwa jug
love ni drag kutoka hapa mpaka pale
kwa yule mwenye urembo imeenda shule
kama ni mahari nitalipa mi sipendangi vitu za bure
magari nje ya nyumba na ma chauffeur ukidai kwenda hapa kule
haba na haba aki ya nani si umejaza mama
nipe mahaba nikule
i’m drunk in love mi siwezibleki bure
it’s too much
nataka kupitia kwenyu nikwambie
lakini baba yako chief na hanipendi
amesema mimi mtaani king wa mischief
mama yako hatunanga beef lakini juzi bahati mbaya alinipata nikitoa kamasi bila handkerchief akanikashifu
i’m figuring
wacha nikuweke ring kwa finger
na mafisi before hawajafika pastor ameshaawika (hi there supuu) “you may now kiss the bride…” kwa altar
mambo ni mdogo mdogo ndogo
haina haja kuipeleka faster
[outro: nyota ndogo]
nalinda
heshima yangu, utu w-ngu
moyo w-ngu usiumie
nalinda
heshima yangu, utu w-ngu
moyo w-ngu usiumie
nalinda
heshima yangu, utu w-ngu
moyo w-ngu usiumie
nalinda
heshima yangu, utu w-ngu
moyo w-ngu usiumie
كلمات أغنية عشوائية
- tom petty and the heartbreakers - don't pull me over كلمات أغنية
- lerix - 24/7 كلمات أغنية
- marvin game - hype كلمات أغنية
- el da sensei - whatyouwando? كلمات أغنية
- mazzoni - eu vou passar كلمات أغنية
- el pescao - otro color كلمات أغنية
- purple kid - mirror كلمات أغنية
- mike krüger - 120 schweine nach beirut كلمات أغنية
- lil poop - robert de niro كلمات أغنية
- carmen mcrae - whatever lola wants كلمات أغنية