kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

guardian angel feat. esther wahome - ni wewe كلمات الأغنية

Loading...

uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe
uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe

wa kupewa sifa ni wewe
wa kuabudiwa ni wewe
wa kuhimidiwa ni wewe
wa kuheshimiwa ni wewe

uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe
uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe

uliye mwalimu bila shahada
uponyeaye bila kusomea dawa
pokea hii sadaka ya juu bwana
pokea sala zetu baba
utuondoleae lawama
uliyeumba wala hukuumbwa
si ni wewe?
ni wewe

uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe
uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe

pokea sifa zetu bwana
tunakuabudu bwana
tunakuheshimu bwana
wa kuabudiwa ni wewe

uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe
uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe
uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe
uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...